Kumbukumbu na Maadhimisho ya kifo cha Mwl. J. K. Nyerere

#DearNyerere wazee wa zamani walikuwa wakipigana vita Tanganyika ila wazee wa siku hizi wanajiita masponsor wanatuibia mademu zetu
 
#DearNyerere Kingwangalla alitumia pesa nyingi kuchonga sanamu ambalo hamfanani na alikufumbisha macho .
IMG_20211014_124808.jpg
 
#DearNyerere Waliokuwa wanasema Corona ni mafua tule malimau, wametusaliti wamechanja wote ☹️
 
You cannot develop people. You must allow people to develop themselves. — Julius Nyerere
 
Dear Nyerere,
Ulisema "Nawambieni na msikilize kwa makini, UTII ukizidi sana unakuwa WOGA, na utii huzaa unafiki na kujipendekeza. "
Hakika ulisema kweli, maana siku hizi tunasikia kwa viongozi wetu 'Rais ametoa hela tujengee sijui mara barabara, hela za maji , shule...' ni taabu kweli.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom