#DearNyerere Waliokuwa wanasema Corona ni mafua tule malimau, wametusaliti wamechanja wote
Ndio maana sanamu likakasirika#DearNyerere Kingwangalla alitumia pesa nyingi kuchonga sanamu ambalo hamfanani na alikufumbisha macho .View attachment 1973931