KUMBUKUMBU: Miaka 11 baada ya kifo cha Lucky Dube

Kumbe alikua anamzungumzia faza ake
Nilikua nadhani anamuimbia mdogo wake
Basi ndo maana anasema
"Mother died of heart attack many years ago when she heard that you are married again"
Ni mdingi wake alizingua aisee..
"Daddy wherever you go, remember me.. Daddy whatever you do, I love you".
 
RIP Dube. Hivi ule wimbo anaoongea na mama yake kwenye simu kuhusu mkewe unaitwaje vile?

It's not easy

I remember the day I called mama on the telephone, I told her mama, I'm getting married, I could hear her voice on the side of the telephone, she was smiling and she asked me a question that I proudly answerd, she said son did you take time to know her, her said mama she's the best.
But today it hurts me so to go back to mama and say mama I'm getting divorced oooooh I'm getting divorced.
This choice I made, didn't work out the way I thought it would ×2 it hurts me so mama, mama said to me.
It's not easy to understand it son, but I hope you you'll make it ×3 you'll be happy again.
I remember in church, when the Preacher the scriptures, you looked so beautiful and innocent, I didn't know that that beauty lies the true colours that will destroy me in the near future.
 
Acha kabisa hiyo ngoma mkuu.. Mtu anayesikiliza Rege na kuzielewa, anapata upako wa aina yake. Kuna akili nyingi sana kwenye utunzi wa muziki huu. Acha kabisa!
 
A timeless masterpiece!
 
Siku kama ya leo mwaka 2007 mwanamuziki nguli wa miondoko ya Rege, Lucky Philip Dube maarufu kwa jina la Lucky Dube aliuawa kwa kupigwa risasi

> Tukio hilo lilitokea muda mfupi baada ya mwanamuziki huyo kuwapeleka watoto wake wawili kwa Mjimba wao eneo la Rosettenville Jijini Johanesburg

> Kufuatia mauaji hayo watu 5 walikamatwa na kushtakiwa kwa kuhusika na tukio hilo ambapo 3 waliachiwa huru baada ya kubainika hawana hatia

> Wawili walijaribu kukimbi lakini walikamatwa na kuhukumiwa kifungo cha maisha jela
Its not easy
Feel irie
The one
Teach the world
Changing world
Shembe is the way
God bless the woman
Rastaman's prayer n.k n.k

R.I.P rasta
 
Together as one
My son am sorry
Kiss no frog
My brother my enemy
No truth
Romeo
Never leave you
Teach the world
Jah live
Born to suffer
Crazy world
War and crime
The way it is
Different colours one peoplw
Well fed slave
Lovers in a dangerous time
Children in the streets
Respect
House of exile
False prophets
Hold on
I've got you babe
Born to suffer
How will I know
Feel irie
Slave
Prisoner
It's not easy
Remember me
Victims
God bless the women

Na nyingine nyingi sana, apumzike kwa amani gwiji wa reggae Lucky Philip Dube a.k.a Fanyan
FB_IMG_15369627172131800.jpeg
 
It's not easy

I remember the day I called mama on the telephone, I told her mama, I'm getting married, I could hear her voice on the side of the telephone, she was smiling and she asked me a question that I proudly answerd, she said son did you take time to know her, her said mama she's the best.
But today it hurts me so to go back to mama and say mama I'm getting divorced oooooh I'm getting divorced.
This choice I made, didn't work out the way I thought it would ×2 it hurts me so mama, mama said to me.
It's not easy to understand it son, but I hope you you'll make it ×3 you'll be happy again.
I remember in church, when the Preacher the scriptures, you looked so beautiful and innocent, I didn't know that that beauty lies the true colours that will destroy me in the near future.
Halafu utashangaa yanakuja matakataka yanajifananisha na Lucky Dube!
 
Together as one
My son am sorry
Kiss no frog
My brother my enemy
No truth
Romeo
Never leave you
Teach the world
Jah live
Born to suffer
Crazy world
War and crime
The way it is
Different colours one peoplw
Well fed slave
Lovers in a dangerous time
Children in the streets
Respect
House of exile
False prophets
Hold on
I've got you babe
Born to suffer
How will I know
Feel irie
Slave
Prisoner
It's not easy
Remember me
Victims
God bless the women

Na nyingine nyingi sana, apumzike kwa amani gwiji wa reggae Lucky Philip Dube a.k.a FanyanView attachment 903061
Hizo ngoma zote zimesimama kuanzia kwenye mpangilio wa verses (lines),stanza mpaka message... Dube alikuwa na kipaji hasa!
 
Lucky Dube was real lucky. Ngoja nisikilize ngoma ya It is not Easy again!!!!
 
It's not easy

I remember the day I called mama on the telephone, I told her mama, I'm getting married, I could hear her voice on the side of the telephone, she was smiling and she asked me a question that I proudly answerd, she said son did you take time to know her, her said mama she's the best.
But today it hurts me so to go back to mama and say mama I'm getting divorced oooooh I'm getting divorced.
This choice I made, didn't work out the way I thought it would ×2 it hurts me so mama, mama said to me.
It's not easy to understand it son, but I hope you you'll make it ×3 you'll be happy again.
I remember in church, when the Preacher the scriptures, you looked so beautiful and innocent, I didn't know that that beauty lies the true colours that will destroy me in the near future.
Beautiful woman is another man's playing thing, oh lord give me strength!
 
Yani binafsi, nikimkumbuka Dube, ninaweza kusema yeye alikuwa na reggae ya namna yake.Tuseme labda alii-africanize reggae ikawa kidubedube au kiafrikaafrika zaidi zaidi.Sababu ukifananisha na zile reggae za kipindi chake kule Jamaica, zile roots hasa kama za kina hayati Gregory Isack na Mzee Don Carlos, Burning Spear, Beres Hamond et al, hazifanani kiviile.Hata wajamaica walichukua muda mrefu mpaka kutambua uwepo wa Dube. Lakini cha ajabu ukisiliza nyimbo za Dube lazima ukubali tu.Usipokubali riddim(rythm) basi utakubali ushairi wake.

Huwa nikisikiliza ngoma za Dube najiona nasikiliza kitu kingine na nikisikiliza wajamaica nahisi kitu kingine.Wote nawafaidi kwa namna tofauti.

Ninawatakia afya njema wapenzi wote reggae.

Jah bless!

R.I.P Dube
 
Halafu alikuwa anajaribu kugusa kila aina ya maudhui
Yes. Tatizo sijashika majina ya nyimbo zake lakini themes nazinyaka fresh tu..

Mfano kuna ule wimbo anamwambia demu mnatuchukuliaje sie Rasta? Kwamba hatuwezi mapenzi? Hatujui kupetipeti? Njoo sasa nikuoneshe penzi la kijamaica, njoo nikufikishe Jamaica...

Wajuzi watasaidia kunitajia tena jina la huo wimbo. Noma sana!
 
Alikuwa akiimba mapenzi ni mapenzi kweli. Hiyo sijaipata vizuri nahisi inaweza kuwa Romeo

Huwa sichoki kusikiliza nyimbo za Dube
 
Back
Top Bottom