Uchaguzi 2020 Kumbukumbu: Kauli ya Askofu Gwajima dhidi ya imani za Wakatoliki na Waislamu

Sisi wakatoliki wa Parokia za Jimbo la Uchaguzi kawe, hatuna shida na Gwajima. Mwadhama ameshamsamehe, sisi n akina nani tusimsamehe? Halafu, kuhusu Askofu mkuu Mstaafu Mwadhama Polycarp kardinali Pengo, hata viongoz wengi wa Upinzani akiwemo Lissu wamemsema Sana na wengi wenu mlikuwa mnashangilia Wakati Gwajima na wenzake wakimdhalilisha.
Ni unafiki tuu, unaowafanya mjione Kama mnajali hadhi ya Ukatoliki na Mababa wake.
 
Ni hivi, sasa ivi hamna jipya la kusema mmeshaishiwa kabisa kwaiy kaeni mkijua ushindi ni mgombea wetu Gwajima
 
Mbunge wa Kawe. Kwa Kadri mnavyomchafua ndivyo watu watakavyomchagua kwa kishindo.
Amechafuliwaje kwa mfano?! Ni kwamba hajaongea huo USHENZI, au?! Hivi si ndo ni huyo huyo alikuwa anahamasisha Wasukuma wampambanie JPM?! Hivi nyie watu ni kwamba mmekula viapo vya kutetea chochote hata kama kimevuka kiwango cha juu kabisa cha upumbavu, au?! Au ni birds of the feather?!
 
Usitukumbushe imebaki story kura zote kwa Gwajima.
Ni Wakatoliki na Waislamu mazuzu tu ndie wanaweza kumpa kura Gwajima!! Na kwavile Wakatoliki na Waislamu kwa pamoja wanatengeneza a largest subset of the population basi kama Gwajima atashinda kwa kura halali basi itakuwa ni kura za wapumbavu na mazuzu!! Kwanza hata asiye RC na Mwislamu, ni mlevi tu ndie anaweza kumpa kura mtu anayeendekeza ukabila kama Gwajima!!
 
Back
Top Bottom