Kumbukizi: Video ya Paul Makonda akimnanga Mzee Edward Lowassa

Mbona Chadema mlizunguka Nchi nzima na kudai Lowasa mwizi baadae mkajumuika naye na kumpa Urais kwenye serikali ya matumaini. Kuna wanafiki kuliko Chadema?
 
Mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo nchini Maulid Kitenge, amepost video inayoonyesha Mhe. Makonda akimuongelea vibaya hayati Lowassa.

Kitenge ameandika kwenye Video hiyo "WAKATI tunatafakari ya sasa tukumbuke tulipotoka".

ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2902059

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1
..
20240213_044014.jpg
 
Mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo nchini Maulid Kitenge, amepost video inayoonyesha Mhe. Makonda akimuongelea vibaya hayati Lowassa.

Kitenge ameandika kwenye Video hiyo "WAKATI tunatafakari ya sasa tukumbuke tulipotoka".

ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2902059

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
Halafu huyu samia anampa nafasi ya kutumikia watu.............
 
Anashangaa nini kwenye siasa?

Si mmenichagua??

Kwenye Lowassa alikua mtakatifu ?.

Yeye Wacha Ajaribu hiko anachokitaka!!
 
Mbona mimi sioni kosa hapo kakumbusha tuu. Kama na wewe unakumbuka chochote share.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom