Nafikiri kuna lililojificha nyuma ya pazia. Dunia haina siri. Litakujafahamika tu muda ukifika.Dunia nzima Trump yupo ikulu, Borris yupo ofisini, Edga lungu yupo ikulu, Kenyata yupo ikulu, museven, maphorisa, wote wnapiga kazi ikulu ila ukitaka kujua mtu muoga njoo tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Si wamejenga mafundi ndugu zake wa kijijinihuo uwanja ndio ule wa Chato? mbona unaonesha cracks hapo!?
Bavicha mna kazi kweli kweli!
Jana nilimuona Mbowe akiongoza kikao cha kamati kuu kutokea sebuleni kwake sikushangaa!
Mfano msafara watu 100 x 120,000 x 45 =540,000,000 nje na mafuta, entertainment n.k, hatari sana. Najaribu kuwaza sina uhakika ni mfano.Si ndiyo maana anahimiza tufanye kazi tulipspe kodi
Kwa maana nyingine hakuna haja ya kuwa na Ikulu. Mahakimu hakuna haja ya kwenda Mahakamani kwani wao pia wanaweza kitekeleza majukumu yao nje ya Mahakama. Akili zenu mmaziweza wenyewe.Mnahamasisha watu wakae majumbani ila mnataka Rais ajiexpose kwenye hatari, hivi hamnaga Cha maana Cha kuhoji mkaacha siasa za kitoto? Umepungukiwa Nini tangu Magufuli aende Chato- Geita- Tanzania?
Majukumu anayafanya Kama kawaida Bado mnalalamika.
Akae hata mwaka mzima, ilimradi awe salama na anatimiza majukumu yake. Bavicha hamnaga jema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe na wewe ni wa "Lumumba"! Mbowe yuko self lockdown, after 14 days atarudi public. sasa huyu siku 45? Mwoga halafu eti ni commander in cheif. Huyu Mwoga in ChiefBavicha mna kazi kweli kweli!
Jana nilimuona Mbowe akiongoza kikao cha kamati kuu kutokea sebuleni kwake sikushangaa!
Shida yenu hamjiongezi kuwa dunia inapitia kipindi gani, mbona akina Mbowe wamekimbia majukumu bungeni na kwenda majumbani kwao? Akili fupi Sana bavicha!Kwa maana nyingine hakuna haja ya kuwa na Ikulu. Mahakimu hakuna haja ya kwenda Mahakamani kwani wao pia wanaweza kitekeleza majukumu yao nje ya Mahakama. Akili zenu mmaziweza wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu kwa hoja wewe mama! Kupuuza ukweli Ni upuuzi, usihamasishe upuuzi.Wewe ni wa kupuuzwa kama wapuuzi wengine wa Lumumba
Dunia nzima Trump yupo ikulu, Borris yupo ofisini, Edga lungu yupo ikulu, Kenyata yupo ikulu, museven, maphorisa, wote wnapiga kazi ikulu ila ukitaka kujua mtu muoga njoo tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Arudishe mshahara.Mbona twachapa kazi na coronaHuu uzushi wa ufipa mwisho October
Sacos ya Mbowe mjipange kuishi Bila ruzuku
Tunakunywa nae kahawa vijiweni hukuRaisi wetu amekuwa Kungwi wa kukaa ndani wakati maradhi yakiliteketeza taifa
Ana chati na Mbatia tu.nasikia hapokei simu za wenzake