The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,021
- 117,467
Huyu ni D Rob (marehemu) kutoka kundi la Kwanza Unit alikuwa ni kijana msanii wa muziki wa Hip-Hop ambaye yeye na kundi lake walifanya shoo nyingi na kampuni ya Kim &The Boys kwenye miaka ya tisini mwanzoni,
Hapa ni New Africa Hotel ambapo kuna Yo! Rap Bonanza moja iliwahi kufanyika na Saleh Jabir akaibuka na ushindi huku mshindi wa pili akiwa Nigger One ,
Hii ilikuwa ni Yo ! Rap Bonanza ya pili baada ile ya awali ambayo ilifanyika Langata social hall Kinondoni.