Kumbi za zamani na ma DJ wake

Kumbi za zamani na ma DJ wake

mkuu dj kessy kitambo pale dodoma enzi za seleman chagua bega.
Huyo chagua bega lazima alikuwa mtu wa sangi, mande na mtungo huo ndio ugangwe wa enzi hizo mtu anaingia club shati hajafunga vishikizo ila huku chini kalifunga kama wanawake wanavyofunga kanga nywele push back aah.
 
Mkuu hilo neno ugangwe umenikumbusha mbali sana,yaani utemi,uhuni,ujanja n.k.
Ila haya maneno,Sangi,mande na mtungo umeniacha Mkuu,siyajui maana yake,au pengine nimeyasahau tu!!
 
Sangi mande na mtungo yote yana maana moja kuwa mnachukua kishtobe (manzi )demu mpo zaidi ya mmoja kisha mnamchangia ndio maana yake mzee mwenzangu.Hata hiyo a.k.a ya jamaa (chagua bega )ina maana alikuwa hatongozi yeye anamwambia demu achague bega kisha jamaa anambeba.
 
Hahahaa! Kupiga mande nimelikumbuka hili neno aisee,na upo sahihi kabisa kwa tafsiri uliyoitoa, pamoja mkuu.
 
ndiyo ilikuwa zake huyu mbabe alikuwa hatongozi bali kuchukua tu.
 
tatizo la black moses hakuwa mzuri kwenye kusakata bolingo bali breakdance ndiyo ilikuwa nyumbani kwake na alikuwa akipata upinzani mkali sana toka kwa sammy cool.
 
Hahahaa! Kupiga mande nimelikumbuka hili neno aisee,na upo sahihi kabisa kwa tafsiri uliyoitoa, pamoja mkuu.
Pamoja sana ndugu yangu khasa tunapokumbuka waqt uliopita ila inasaidia vijana pia kujua waqt huo mambo yalikuwaje.
 
tatizo la black moses hakuwa mzuri kwenye kusakata bolingo bali black dance ndiyo ilikuwa nyumbani kwake na alikuwa akipata upinzani mkali sana toka kwa sammy cool.
Musa Simba alikuwa njema stejini usipime!!!!
Kwenye breakdance!!!!!
Hakuwa na mpinzani.
Digadiga alikuwa anawapambe wake wakali wa vurugu.
 
mkuu umenikumbusha athuman digadiga alikuwa mbabe na mtata asiyekubali matokeo mara nyingi wapambe wake walifanya vurugu.
 
Back
Top Bottom