Haijalishi mkuu, ujumbe wake uko wazi...wana kigoma wamuunge mkono sa100!.Hiyo video ya siku nyingi nyuma. Sio tz kipindi hiki cha uchaguzi
Zito ni snich!
Haijalishi mkuu, ujumbe wake uko wazi...wana kigoma wamuunge mkono sa100!.Hiyo video ya siku nyingi nyuma. Sio tz kipindi hiki cha uchaguzi
Sawa mkuuYaani hapa umewakilisha akili ya wabongo asilimia 90%
Kila wanachoona mitandaoni wanaamini ni cha kweli...