Kumbe Zitto Kabwe ni bonge la kupe

Kumbe Zitto Kabwe ni bonge la kupe

Nasikia wamegoma gari ila najua litaenda baada ya uchaguzi au ktk form nyingine Zitto can't let pass by
 
Sitii neno.

Naleta kama ilivyo.

Najua Zitto Kabwa yumo humu.

Huenda atatuelezea dhamira na nia yake ni nini.

Je, namna hii hajawa bonge la kupe tena la kujipeleka?

Je, imekuwaje akamuacha Mpina na kumpigia kampeni mama yake?

Je, amelishwa kitu?

Namna hii, ACT Wazenguaji itashindwa kuwa CCM B?

Maswali ni mengi kuliko majibu.;

Sikiliza mwenyewe uamue.

View: https://youtube.com/shorts/S8Bz1HLqaxc?si=xFK269yu406ruwr9

Hii ni ya siku nyingi sana. Mama alipoingia madarakani
 
Sitii neno.

Naleta kama ilivyo.

Najua Zitto Kabwa yumo humu.

Huenda atatuelezea dhamira na nia yake ni nini.

Je, namna hii hajawa bonge la kupe tena la kujipeleka?

Je, imekuwaje akamuacha Mpina na kumpigia kampeni mama yake?

Je, amelishwa kitu?

Namna hii, ACT Wazenguaji itashindwa kuwa CCM B?

Maswali ni mengi kuliko majibu.;

Sikiliza mwenyewe uamue.

View: https://youtube.com/shorts/S8Bz1HLqaxc?si=xFK269yu406ruwr9

Unaandika uongo kwa faida ya nani ndugu yangu.

Wakati mwingine wanasema ni heri usiongee au kuandika ili watu wasijue uwezo wa akili yako.

Mbona mnafanya tunapata shida kuitetea Jamii Forums kuwa ni forums ya wenye akili timamu.Watu wa namna yako wanaifanya iwe kama Facebook uchafu wowote unaletwa.

Unauhakika hyo video ni ya wakati huu wa Mpina.Hii yote inaonesha namna mnavyomchukia mtu inawapelekea kutafuta lolote ili kuhalalisha chuki zenu.

Niwaambie jambo chuki humchoma anaehifadhi yule mwenzenu wala hawawazii nyie na anaelewana sana na viongozi wenu tena vizuri tu.

Kwenye uchaguzi wa 2020 wakati anamnadi Lissu hamkumuona kama msaliti ila akimnadi Mpina au kushiriki uchaguzi ndio mnampa jina mnalowapa wale msiowapenda.

Ila siwezi kushangaa maana siku akija upande wenu mtazikana shutma zote mlizompa na mtamsafisha.Kuna muda ni heri ya roho za wale nyonya damu wa kijani ambao tushawajua wanataka nini kuliko nyie wenye chuki na kila ambae yupo against na nyinyi.

Kila mara nawasisitiza acheni kujihesabia haki.Siasa sio uadui kama nyie mnavyokuwa,jitahidi mkuwe kiakili maana kiukweli mnauwezo mdogo sana wakupambanua mambo.
 
Hiyo video ya siku nyingi nyuma. Sio tz kipindi hiki cha uchaguzi
Hao ndio watu wa propaganda sasa katika vyama vya siasa vya nchi hii.

Tuna watu wenye akili ndogo sana katika siasa.

Kwa akili za watu kama mleta mada ni kazi sana kuitoa CCM madarakani.
 
Chadema wanahisi wasipomuongelea vibaya Zitto watafutiwa usajili..............wao Kila siku na Zitto. Sijui kawakosea nini'?!!!!!!!
Hiyo inaonesha iliwauma sana alivyoondoka kwao.

Chuki yao ni sawa na mme amuache mkewe halafu mke awe anamsema vibaya mmewe wa zamani hapo inaonesha kaumia kuachwa.

Asieumia huwa hana muda na kumsema vibaya Ex wake.

Pia inaonesha namna walivyo na vijana wenye akili ndogo wanaojadili watu kuliko hoja.

Humu jukwaani katika hizi wiki kadhaa Zitto anaongoza kusemwa kuliko kampeni ya NRNE sasa sijui nae ni miongoni mwa kampeni yao.
 
Kwakweli wanasikitisha na wanatia huruma sana🤣🤣🤣
 
Ndio unastuka Leo? Hili pandikizi kitambo sana....
Lipo kwenye payroll za gavo
 
Kwakweli wanasikitisha na wanatia huruma sana🤣🤣🤣
Wanafanya aliewaita nyumbu aonekane anajua kupatia.

Maana akili za nyumbu zinafanana.

Ila siwezi kushangaa kama waliimba miongo miwili kuwa Mbowe ndio mpinzani pekee asie na bei na hanunuliki lakini baadae wakala matapishi yao wakasema amenunulika.

Wakaimba Lowassa fisadi papa na wakasema na ushahidi wanao ila baadae wakala matapishi yao wakasema ni msafi hana doa.

Wakapinga hoja ya reforms za uchaguzi wakisema ACT wanatumika kuipamba katiba ila baadae wakayala matapishi yao wakasema reforms muhimu ili twende kwenye uchaguzi huru.

Wakasema Nyalandu sio kiongozi msafi fisadi na mwizi wa nyara za serikali ila baadae wakamsafisha.

Hawa ndio wanaojiona wanademokrasia lakini hawaijui demokrasia yenyewe wala hawaiishi.

Sikuwahi kumuamini Mbowe kama mpinzani wa aina hiyo waliyokuwa wanatuaminisha lakini kwa alichopitia wakati wa kampeni hadi sasa sio haki kwa wao waliokuwa wanaaminisha ni mpinzani kwelikweli.
 
Sitii neno.

Naleta kama ilivyo.

Najua Zitto Kabwa yumo humu.

Huenda atatuelezea dhamira na nia yake ni nini.

Je, namna hii hajawa bonge la kupe tena la kujipeleka?

Je, imekuwaje akamuacha Mpina na kumpigia kampeni mama yake?

Je, amelishwa kitu?

Namna hii, ACT Wazenguaji itashindwa kuwa CCM B?

Maswali ni mengi kuliko majibu.;

Sikiliza mwenyewe uamue.

View: https://youtube.com/shorts/S8Bz1HLqaxc?si=xFK269yu406ruwr9

Kuna tofauti na hapa? Au tuendeleze hisia zaidi!

View: https://www.youtube.com/shorts/tQYzvK9z5mo
 
Video ya baada ya kifo cha jpm leo anamkumbuka zitto na mtu wa hovyo sana

USSR
 
Ile wilaya iko kati ya kivuko pale Mwanza na wilaya ya Geita inaitwaje?
 
Back
Top Bottom