Kumbe wivu wa mapenzi unauma hivi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe wivu wa mapenzi unauma hivi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Billie, Mar 20, 2012.

 1. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,355
  Likes Received: 2,361
  Trophy Points: 280
  Nipo mbali na mpenzi wangu kimetokea kitu kidogo ambacho kimenipelekea nijisikie ka wivu fulan ila nimejikaza sijakurupuka nipo nakitafari extent ya ukweli wake.
  Tuna miaka mingi(10yrs) na ka beb boy kamoja.
  Sijawahi kupata hofu na mpenzi wangu ya kiasi hiki.Cha ajabu hofu imenipelekea hadi kujiuliza source ya wivu nini kwenye mind ya binadamu? Nimejijibu majibu mengi ila conclusion niliyofikia ni kuwa wivu chanzo chake ni UCHOYO na ROHO MBAYA kwa kuwa nimegundua hatupendi kugawana vitu vizuri na wenzetu ikiwemo kale ka kipochi manyoya na asumani kichwa wazi.Kwa kweli baada ya kujijibu hivi kidogo nimerelax.JE MWENZANGU UNATAMBUAJE SOURCE YA WIVU KWENYE MIND YA MWANADAMU.
   
 2. BabyGal

  BabyGal Senior Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Roho mbaya kisa tu hutaki kushea kizuri chako?

  Huo ni UBINAFSI, sio roho mbaya.
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,232
  Trophy Points: 280
  kweli huo ni uchoyo, na hasa pale unapotaka kuwa mmiliki pekee wa kipochi manyoya...
   
 4. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Sikiliza Bwn Mdogo, hapa penye red pana tatizo kubwa. Kuna vitu vingi vya kushare lakini siyo mapenzi. Ukiona mtu hana wivu juu ya Mwenzi wake basi ujue kuna kasoro kubwa ya kimaumbile au laa ujue huyo mhusika hana hata tone moja la mapenzi dhidi ya mpenzi wake.

  Wivu ni kama chachu ya mapenzi ingawa nakubali kuwa ikizidi huwa ni tatizo kubwa. Hujakosea hata kidogo kumuonea wivu mkeo maana hii inaonyesha upendo pia (ingawa hatugurantee hilo) kwa kiasi fulani .

  Bado siamini kuwa kuna mapenzi bila degree fulani ya wivu ingawa nakiri wazi kuwa upo wivu wenye asili ya chuki ambao mtu huwa nao ili mwingine asifanikiwe kwenye mahusiano ya wawili.
   
 5. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Yaani mi nimeona hapo tu :peep:
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  after digesting the whole comment..
   
 7. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Ungemalizia kusoma mpaka mwisho ....
   
 8. huzayma

  huzayma Senior Member

  #8
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bora umerelax, bila hivyo kuendekeza wivu unakuwa kama msukule.
   
 9. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133

  Hapo ndio umemaliza kila kitu........huko kwengine ni siasa tu.
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Wivu wa Mapenzi unauma asikuambie mtu... Speaking from experience....
  ni kitu ambacho kama inawezekana kugawa kwa mtu wampa na mahela mengi hata mamilioni unatoa tu!
   
 11. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Acha mambo yako, hivi siasa ni nin hasa kwenye MMU?
   
 12. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Pole kama nitakua nimekukwaza.......halikua lengo langu.

  Kwa kifupi, mimi ninaamini katika upendo wa bila kushare na mtu mwingine yeyote. Sipati picha kushare mpenzi wangu namtu na linapokuja suala la wivu kila mtu na mtizamo wake ndio maana nikaita siasa. Ninaposema siasa ni kwamba kila mtu anamtizamo wake na hakuna markig scheme kama ukisema hivi umepatia au umekosea..........majibu yote ni sawa. Mi sipendi siasa maana ni mchezo mchafu....(ninavyoamini), sipendi kuwa kinyonga......hasa linapokuja suala la mapenzi.
   
 13. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,355
  Likes Received: 2,361
  Trophy Points: 280
  Daa rafiki hii kitu inauma sana kuliko hata maelezo
   
 14. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #14
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,355
  Likes Received: 2,361
  Trophy Points: 280
  AshaDii usicheze na hiyo kitu usiombe itokee kwa wenzi wa muda ambao hawakuwa na makwazo kwenye safari yao ya kimapenzi.Nimekula nusu chapati kisa wivu pumbafu who bring this?
   
 15. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,355
  Likes Received: 2,361
  Trophy Points: 280
  Nimejikuta nasema potelea mbali hata akimmega si na mimi ntakikuta provided that asimchukue jumla.
   
 16. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Inauma hata mfano wake kwaupande wangu sijaona ilobaki basi tuu.
   
 17. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #17
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Hahahahhahahahhahahaaaaaaaaa! Heri nusu shari...........:peep:
   
 18. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #18
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Wivu ni kidonda ukishiriki utakonda
   
 19. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #19
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  naomba unifafanuliw hapo kwenye red maana yake ni nini? nimeachwa njia panda.
   
 20. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #20
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,355
  Likes Received: 2,361
  Trophy Points: 280
  We cheka tu ngoja yakuhusu siku ndo utaelewa kwa nini mimi nimeropoka hivyo.
   
Loading...