kaka haya mambo acha kabisa, naamini hata usiku hutapata usingizi,
ila kama ww ni mtumiaji wa kile kitu yetu white( nyagi) weka ndani ya kutosha tu manake ndo itakuwa mkomboz wako.
no wonder magereza yamejaa wahanga wa 'crime of passion'.
nikisemaga humu watu (hasa wanawake ) wanakasirika. Lakini ukweli ndo huu :wanawake (kama tulivyo wanaume) wana tamaa ya ngono kama sisi.
by the way Billie,have you ever cheated on your lovely wife?
Nipo mbali na mpenzi wangu kimetokea kitu kidogo ambacho kimenipelekea nijisikie ka wivu fulan ila nimejikaza sijakurupuka nipo nakitafari extent ya ukweli wake.
Tuna miaka mingi(10yrs) na ka beb boy kamoja.
Sijawahi kupata hofu na mpenzi wangu ya kiasi hiki.Cha ajabu hofu imenipelekea hadi kujiuliza source ya wivu nini kwenye mind ya binadamu? Nimejijibu majibu mengi ila conclusion niliyofikia ni kuwa wivu chanzo chake ni UCHOYO na ROHO MBAYA kwa kuwa nimegundua hatupendi kugawana vitu vizuri na wenzetu ikiwemo kale ka kipochi manyoya na asumani kichwa wazi.Kwa kweli baada ya kujijibu hivi kidogo nimerelax.JE MWENZANGU UNATAMBUAJE SOURCE YA WIVU KWENYE MIND YA MWANADAMU.
kuna bestie wangu mmoja kamruhusu mume wake aishi na mama wa kithungu ili tu watoke kimaisha lakini hali yake kiafya sio nzuri hata kidogo, stress inammaliza she is frustrated hata ule uzuri wake umeanza kupotea. anasema anaona wivu sana kwa huyo mama wa kithungu kuwa na mume wake full time. kila mahali kijana na mama mama na kijana na wakati mwingine hata barabarani wanakutana na jamaa anajifanya kama vilke hamjui hata.
Ingawa alikubali lakini kiubinadamu sio rahisi kupokea hali hiyo wivu katika mapenzi hauepukiki esp if you love your person ki kweli kweli.
Mr Power stori yako imenigusa sana na nimegundua si vyema kujikaza haswa kwenye hali tata za kimapenzi kama ilivyo stori yako.
Am Mrs Power
yaani huku a town wakaka wengi sana wanaacha kuishi na familia zao na kuoa (kuolewa) wazungu ili tu watoke. kuna wake wengine tena wengi wao wanaokubaliana na hali hiyo na maisha yanabadilika kabisa lakini shida inakuja huna uhuru na mume wako na watoto kila kukicha wapi Daddy maswali yanakuwa magumu na mengi kadri watoto wanavyozidi kukua.
tena ni afadhali huyo mume apate mzungu anayeishi majuu kuja huku ni kutembea na labda yeye aende mara moja moja, wale wa kuishi huku full time ni balaa wanamganda mtu unaweza hata usiwaone watoto mwezi. Si ulishasema wewe uko single no wife no kids. Na kuna wanaume wanimudu hii hali bila shida yoyote
Bila Wivu Hakuna Mapenzi ya kweli hapo
Mzizi umesema sawa, Tu jambo la kuangalia hapo ni kitu chochote kikizidi ni hatari na kero
Hata mapenzi yakizidi ni hatari na kero