STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,260
Kumbe ndo wale wanaokuja kwa magari ya nyanya? Hahahkinachochekesha ni kwamba jamaa anajua kuwa kachomolewa kumbe anatengenezewa mazingira ya kuchunwa kwa hiyari ndiyo maana tunacheka bado mgeni