Kumbe wanaume ndio wapo hivi!?

When I was a young me & my mama had a beef 20 years old kicked out on the street.

Pole sana ndugu yangu muombe mungu atakusaidia.
 
Duuh mnasema na watu
 
Hilo ni tatizo la wakwe wachawi anataka kumrithisha mwanae uchawi
 
kusema kweli sijamaliza kusoma mana maneno mengi nilikata tamaa ulivyosema kuwa mume wako umemfanya mama yako,kaka yako,dada yako, kwann usimfanye mama yako huyo mama mkwe wako?nijibu kisha mimi nimalizie kusoma ndio nikupe ushaur mwengine
 
Ni ngumu sana kuishi na mama anayeingilia Nyumba yako.
Na hapo hutaelewana na mumeo abadani hata akiondoka lazima amkotroo na simu.
Pole sana kwa maisha unayoishi, asipoangalia atapoteza mke huyo kijana.
 
Usiwe mnyimi wa fadhila mkuu! Share hiyo knowledge..! Nataka nikatest kwa bossylady!
 
Kwanini mkiolewa mnawachukia Wakwe zenu?
 
Kwanini mkiolewa mnawachukia Wakwe zenu?
Kwani kasema amemchukia??
Sawa sawa na wewe uoe halafu mke akalale chumbani kwake kwenye nyumba ya baba na mama ake. Ni sawa?? Msipende ku comment vitu Itakavyowakera watu hasa wenye kuhitaji misaada yenu. Sio kila post ni ya kujibu upuuzi buana. Jf ya siku hizi hii bana.
 
Mmh hapa unaweza uka-reply kitu ukaonekana wa ovyo!

Yawezekana kuna mahaba kati yao, si bure.
Eti jamani.... Nimeshangaa sana... How ever am a silent killer.. Nyanya za mwezi mzima natumia week mbili tatu afu nasema wazi kuwa zimeisha wakanunue zingine maana wao ndoto wanunuzi...eboooo
 
Mkuu maserati. Kwenye ndoa sisi yatima hatuna cha kushika jamani acha tu.
 

hivi mleta mada umemuelewa kweli?

Hajasema wanaume mpo hivyo ameuliza kama je wote mpo hivyo?

Pili shida hapa ni mama mkwe kamganda mwanae as ni mke mwenzie kumbe ni mama wa mume, hivi mpaka mama mkwe anapanga bajeti ya nyumba ya mwanae, sasa hapo kweli kuna mihemko gani kama sio wazima wa huyo mama, hata ingekuwa mimi ningewehuka huwezi kumpitia mume wangu asubuhi bila sababu, huwezi panga bajeti ya nyumba yangu, huwezi kuja kwangu tumekaa wote sebuleni unanong'onezana na mwanao as if mimi ni kinyago hapo mbele yenu
 
Ni ngumu sana kuishi na mama anayeingilia Nyumba yako.
Na hapo hutaelewana na mumeo abadani hata akiondoka lazima amkotroo na simu.
Pole sana kwa maisha unayoishi, asipoangalia atapoteza mke huyo kijana.
Angalau wewe umeona kitu ambacho wengi wetu hatukionagi. "Atampoteza mke wake", while wengi wetu tunaonaga ni mwanamke tu ndo ana cha kupoteza kwenye ndoa
 
Tatizo wew ulimpenda saana ,ukamwamini sana,ukaonyesha huna msaada bila yeye, yaani miaka sita ni michache sana bado mnasomana na kuna suala hujalitaja au sikusoma vizur issue ya watoto,kama huna mtoto du, itakusumbua sana.
Nashauri
1. Uanze maombi ya nguvu, Mungu atakufunulia namna ya kunusuru ndoa yako.
2. Endelea kuwa mwaminifu ukimvumilia huyo mwanaume ,mtatoka ktk hiyo hatua
3. Usimchenjie ma mkwe, endelea kumheshimu kwa kila hali.
Pole sana Dada,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…