Tupeane maujanja ht pm plz ucwe mchoyo maan nae angekuwa mchoyo ucngepataHuyo jamaa kuna siku moja alikua anatupa mbinu za kuwapata mademu masta inster maana huwa wanatabia ukimutumia msga hawJibu sasa mkuu the boss siku moja akanipa mbinu za kuwapata na kujibu hizo msg nikazitumia zike mbinu zake alizonipa aisee sikuamini kuona staa mmujo akijibu coment zangu
Huyo jamaa ni hatar sana the boss we mkali maujanja yako yamefanya saiv nina namba ya nandy na shilole
ndugu UBARIKIWE SANAAmeona huna cha maana cha kumshauri zaidi ya kusengenya watu
Huyo mumeo ni ana matatizo kams dada zake wamelijua tatizo ye hajashtuka tu sio bure aseee!!!ivyo unavyoongea ni sawa kabisaaa yani mume wangu anajiona bado mdogoooooo kashikiwa akili kisawasawa! hana maamuzi hataaa!!!! ( what kills me)
nashukuru nna mawifi zangu wa mbalimbali kidogo walishawahi kumwambia..kaka utampoteza mkeo kwaajili ya mamako! yaaani ni hivyohivyo unavyoongea dea hivyohivyooooooo!
Ngumu kumeza daaah!!!Kuwa karibu zaidi na mama mkwe wako. Kisha fanya mpango wa kumtafutia bwana huyo mama ili awe bize na yake kidogo.

Inawezekana hapiPole sana bibie...Huyo Mumeo ana tatizo aisee..sio WANAUME WOTE TUKO HIVYO
Tabia amebadilishwa na mama yakeInawezekana hapi
Tatizo mama mkwe
Sio mwanaume
Mbona mwanzo hakuwa hivyo