Kumbe wanaume ndio wapo hivi!?

Kumbe wanaume ndio wapo hivi!?

Kajambo kadogo namna hii unataka ushauri....be strong, jitambue una nguvu ya kubadilisha. Haaa!
 
pole sana.......na wewe mlete baba ako ndani afu iwe full kugandana mda wote.......utaleta mrejesho
 
hivi mleta mada umemuelewa kweli?

Hajasema wanaume mpo hivyo ameuliza kama je wote mpo hivyo?

Pili shida hapa ni mama mkwe kamganda mwanae as ni mke mwenzie kumbe ni mama wa mume, hivi mpaka mama mkwe anapanga bajeti ya nyumba ya mwanae, sasa hapo kweli kuna mihemko gani kama sio wazima wa huyo mama, hata ingekuwa mimi ningewehuka huwezi kumpitia mume wangu asubuhi bila sababu, huwezi panga bajeti ya nyumba yangu, huwezi kuja kwangu tumekaa wote sebuleni unanong'onezana na mwanao as if mimi ni kinyago hapo mbele yenu
Nimemuelewa nadhani labda wewe ndio hujanielewa, izo za juu mbwembwe ingawa kweli kakosea kusema kumbe wanaume mpo hivi ,maana alikua anamuongelea mume wae ambae ni mmoja, na si uwingi

But point yangu imeanzia hapo kwenye ' Maelezo na kushuka hadi mwisho,,, pia nilimanisha kumpenda kwake sana mume wake kwa kuonyesha wazi 100% ndo kunafanya amfanyie visa hivo akishirikiana na mama yake
That why nikamwambia asionyeshe wazi kumpenda na kumjali sana 100% pamoja na kulia kwa sababu yake,, rejea nilipo andika The only way to get some one attention is to stop them giving yours.
 
Trust me, akiacha kumuonyesha huo upendo ndo kabisaaa jamaa atahamia hadi kulala kwa mama yake hapo kwa mkewe atakuwa anaenda kubadilisha nguo tu
 
Angalau wewe umeona kitu ambacho wengi wetu hatukionagi. "Atampoteza mke wake", while wengi wetu tunaonaga ni mwanamke tu ndo ana cha kupoteza kwenye ndoa

@Haeven sent, unajua kitu alichosema huyo Dada kimemtokea mtu wangu wa karibu sana na ndoa imevunjika ss ni miezi 11.
Kijana kapoteza mke angali anampenda sbb ya mama take ambaye alikuwa anamkontroo kijana km bado mtt vile.
Kijana anabaki kubembeleza lkn Binti ameshatumbukia nyongo hamtaki tena kijana wa watu na hv ss kesi ipo mahakamani.
Wakati mwingine humu ndani mtu anaongelea habari zinazokugusa moja kwa moja.
 
Lakini still kuna watu ambao wanamlaumu huyu dada na kujustify anachokifanya mama mkwe kisa tu etu bila huyu mama asingemjua mumewe. Wewe kumzaa kijana wako ndo umuingilie hadi ndoa yake? I hope watakuwa wamesoma hiyo testimony yako na imefungua fahamu zao
 
Trust me, akiacha kumuonyesha huo upendo ndo kabisaaa jamaa atahamia hadi kulala kwa mama yake hapo kwa mkewe atakuwa anaenda kubadilisha nguo tu
Akifanya hivyo mume wake ataona kuna vitu ana vimiss, na ataanza kujaribu kuvipata upya nikimaanisha kujirudi kwa mkewe, ikishindikana na hapo basi kutakua na tatizo fulani nyuma ya pazia ambalo hata kama mtoa huu uzi halijui itabidi aanze kuchunguza
 
habari za maisha wana jf! naombeni kushare na nyie kuhusu hichi kitu kinachonikabili kwan naamini naweza kuelewa maisha jinsi yalivyo kwa kuwa kila siku tunajifunza.
Mimi nmeolewa miaka 6 iliyopita n am 31 now! mume wangu ndio kila kitu kwangu nampenda sana namhurumia namthamini pia...vile sina wazazi na nmezaliwa peke angu bas mume wangu nmemchukulia km ndo kaka, baba, mama, dada na kila kitu!
yaan jinsi nilivyo yaan simfichagi hata kitu ktk maisha yangu...furaha huzuni kila kitu anajua....napenda sana kupiga nae stori umbea n.k yaan tukianza kusengenya mtu weeeeee! nmezoea kwake kwan sinaga hata rafiki wa karibu sina mazoea na watu saaaanaaa..
Lakiniiii kitu ambacho kinaniumizaa bwana ni life style yy na bi mkubwa wake...mama ana tabu huyo cjapata ona! nmpenda sana lkn hapendeki! yaan sielewi ana tatizo gani....anamwekea mtoto ake biz sana kiasi kwamba ile furaha yangu nahisi inatoweka! na mtoto nae (mume) yy na mamake humuelezi kitu! anatupangia tuishi vile anavyotaka yy...sisi tukiplan kitu chetu yy anaenda anaharibu...hafla unamuona mtu hakupatilizi tena!
ni mda mrefu hili tatizo nmelifanyia uchunguzi nmegundua ni mama ndie anaharibu!
ni stori ndefu sana cpendi kuwachosha lkn sasaiv mume wangu sina stori nae....anaongea na mamake na sim mda wote! hata sokoni wanaenda wote napangiwa budget na ma mkwe tena anambia kabisaa nyanya hizo mwezi mzima!
kwanini imekuwa hivi ikiwa me ni mke nna kazi nna biashara najua kutafuta na mume wangu kipato chake kidogo sana! nikijaribu kumuuliza anakasirika ndo ctoongeleshwa cku tatu mtu kanuna!
mara mama mtu amfate mwanae asbh cjui wanaenda wapi!!? siambiwi wala siulizi! utakuta tumekaa watatu hafla wanaanza kunong'onezana...jamaniiii!!!??
baadhi ya watu wameshaiona hii picha naskiaga ckiaga tu wanasema mhhhh yule kaka anamsikiliza sana mamake naskia hata rafiki zake wanamwambia awe na msimamo na maamuzi yake...lakn wapiiiii!!!! jamani sina furaha...
hivi ndio wanaume wote walivyo au ni huyu wangu tuu?? naombeni ushauri kwani naumia sana hlafu nahisi kupoteza mapenzi na huyu mama...nmevumilia mengi sana kwake!
pole sana naona jaribu hilo..mumeo anajisahau naona anasahau nafasi ya mke na ya mama ni tofauti
 
Mkuu maserati. Kwenye ndoa sisi yatima hatuna cha kushika jamani acha tu.
Pole, but I deeply advice you, muambie mumeo mkakae mbali na mama. Either nendeni vacation, where you need to switch off the phone at least atambue uwepo wako. Au u just ask to stay out for a while uwape nafasi. Maana nahis wanahitaji nafasi. Mama gani huyo too much??!
 
Lakini still kuna watu ambao wanamlaumu huyu dada na kujustify anachokifanya mama mkwe kisa tu etu bila huyu mama asingemjua mumewe. Wewe kumzaa kijana wako ndo umuingilie hadi ndoa yake? I hope watakuwa wamesoma hiyo testimony yako na imefungua fahamu zao

Ndoa ni ya watu wawili wanapozidi haiwi ndoa tens.
Yule Binti alikuwa anamwambia habari za Nyumba hiisitaki zitoke nje lkn ghafla mama mkwe anamuuliza.Basis Binti anakasirika akiuliza anamwambia kwani kuna shida gani wao kukua. Wakati ya ndugu za mume hayafiki pale.
Hadi simu anazopiga kwa mama mkwe kwenye kikao Chao cha familia zinazungumziwa.
Yani nahisi ni kopi na kupesti ya maisha ya huyo Dada.
 
Basi I hope na huyu mume atajifunza somo lake in a hard way.
 
Na huyo mtoto ni fala,kwani yeye mama yake na baba yake walikuwa wanapangiwa na wazazi wao?
Watoto wengine siyo wa kuoa,wewe tafuta bwana mpya tu,hapo uko na mke mwenzio.
 
ivyo unavyoongea ni sawa kabisaaa yani mume wangu anajiona bado mdogoooooo kashikiwa akili kisawasawa! hana maamuzi hataaa!!!! ( what kills me)
nashukuru nna mawifi zangu wa mbalimbali kidogo walishawahi kumwambia..kaka utampoteza mkeo kwaajili ya mamako! yaaani ni
hivyohivyo unavyoongea dea hivyohivyooooooo!

Pole sana mpendwa wangu, najua unayopitia, na ukiuliza atakwambia kwani mama akijua kuna ubaya gani?
Humpendi mama yangu na mengineyo kibao, huuu wetu mpk hospitali alikuwa anapelekwa na mama take.
 
Basi I hope na huyu mume atajifunza somo lake in a hard way.
Of which it gonna be too late, huyu dada anaweza kutoka kwenda kutafut amani ya moyo wake. Yaani sometimes we have to push thise we love away kwa sababu ya amani ya mioyo yetu, sasa kama huyo kaka seems hajakua kabisa kiakili anajiona mtoto na mama pembeni ndio amdekeze na kumlea. Kwanini alioa? Si angekaa kwa mama ake!!!
You know najikuta nakasirika mie huku jamani...
 
Kwa kweli bora tu angebaki na mama yake wapendane tu vizuri. Ya nini kumuoa mkewe na kuishia kumtesa kama hivi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom