Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Khaa huyo mama mkwe wako hana mume? Mweeh pole kwa kuolewa na mama mkwe wako khaaaa.
Mi binafsi siku nipatapo like yake huyu The Boss huwa najiona nimetoa bonge la point.Wewe jamaa huwa nakukubali sana kwa mawazo yako wewe umeshindikana wewe ni mnyama kibongo bongo ndan ya selikal nakufananisha na mbabe wa kivita, mafionso aka mtemi chenge hugusiki
Aunt yake huwa sijuagi nini kinasababisha baadhi yao wanakuwa hivyo. Sasa huo sijui ndio tuuite wivu au ndio kumpenda sana mwanaeKhaa huyo mama mkwe wako hana mume? Mweeh pole kwa kuolewa na mama mkwe wako khaaaa.
Kukosa tu ufahamu nafikiri. Kumpenda mwanao ndo uende ukaingilie ndoa yake? Wamama wanaowaacha watoto wao waishi vizuri na familia zao ndo hawawapendi watoto wao? Ubaya amepata mwanaume asiyejitambua pia na yeye kashikiwa akili na mama yake. Kazi ipooooAunt yake huwa sijuagi nini kinasababisha baadhi yao wanakuwa hivyo. Sasa huo sijui ndio tuuite wivu au ndio kumpenda sana mtoto wake.
Huyo jamaa kuna siku moja alikua anatupa mbinu za kuwapata mademu masta inster maana huwa wanatabia ukimutumia msga hawJibu sasa mkuu the boss siku moja akanipa mbinu za kuwapata na kujibu hizo msg nikazitumia zike mbinu zake alizonipa aisee sikuamini kuona staa mmujo akijibu coment zanguMi binafsi siku nipatapo like yake huyu The Boss huwa najiona nimetoa bonge la point.
Hata nami namkubali mno aisee. M'Mungu azidi kumbariki
Kweli kabisa na hata sipati picha wanavyoishi humo ndani mana itakuwa yeye ndio mpangaji wa kila kitu utadhani nyumba ya kwake.Kukosa tu ufahamu nafikiri. Kumpenda mwanao ndo uende ukaingilie ndoa yake? Wamama wanaowaacha watoto wao waishi vizuri na familia zao ndo hawawapendi watoto wao? Ubaya amepata mwanaume asiyejitambua pia na yeye kashikiwa akili na mama yake. Kazi ipoooo
Wasambaa hatukoivoo bhaanausijali wasambaa ndivyo walivyo..
habari za maisha wana jf! naombeni kushare na nyie kuhusu hichi kitu kinachonikabili kwan naamini naweza kuelewa maisha jinsi yalivyo kwa kuwa kila siku tunajifunza.
Mimi nmeolewa miaka 6 iliyopita n am 31 now! mume wangu ndio kila kitu kwangu nampenda sana namhurumia namthamini pia...vile sina wazazi na nmezaliwa peke angu bas mume wangu nmemchukulia km ndo kaka, baba, mama, dada na kila kitu!
yaan jinsi nilivyo yaan simfichagi hata kitu ktk maisha yangu...furaha huzuni kila kitu anajua....napenda sana kupiga nae stori umbea n.k yaan tukianza kusengenya mtu weeeeee! nmezoea kwake kwan sinaga hata rafiki wa karibu sina mazoea na watu saaaanaaa..
Lakiniiii kitu ambacho kinaniumizaa bwana ni life style yy na bi mkubwa wake...mama ana tabu huyo cjapata ona! nmpenda sana lkn hapendeki! yaan sielewi ana tatizo gani....anamwekea mtoto ake biz sana kiasi kwamba ile furaha yangu nahisi inatoweka! na mtoto nae (mume) yy na mamake humuelezi kitu! anatupangia tuishi vile anavyotaka yy...sisi tukiplan kitu chetu yy anaenda anaharibu...hafla unamuona mtu hakupatilizi tena!
ni mda mrefu hili tatizo nmelifanyia uchunguzi nmegundua ni mama ndie anaharibu!
ni stori ndefu sana cpendi kuwachosha lkn sasaiv mume wangu sina stori nae....anaongea na mamake na sim mda wote! hata sokoni wanaenda wote napangiwa budget na ma mkwe tena anambia kabisaa nyanya hizo mwezi mzima!
kwanini imekuwa hivi ikiwa me ni mke nna kazi nna biashara najua kutafuta na mume wangu kipato chake kidogo sana! nikijaribu kumuuliza anakasirika ndo ctoongeleshwa cku tatu mtu kanuna!
mara mama mtu amfate mwanae asbh cjui wanaenda wapi!!? siambiwi wala siulizi! utakuta tumekaa watatu hafla wanaanza kunong'onezana...jamaniiii!!!??
baadhi ya watu wameshaiona hii picha naskiaga ckiaga tu wanasema mhhhh yule kaka anamsikiliza sana mamake naskia hata rafiki zake wanamwambia awe na msimamo na maamuzi yake...lakn wapiiiii!!!! jamani sina furaha...
hivi ndio wanaume wote walivyo au ni huyu wangu tuu?? naombeni ushauri kwani naumia sana hlafu nahisi kupoteza mapenzi na huyu mama...nmevumilia mengi sana kwake!
The Boss is more than best aisee.Huyo jamaa kuna siku moja alikua anatupa mbinu za kuwapata mademu masta inster maana huwa wanatabia ukimutumia msga hawJibu sasa mkuu the boss siku moja akanipa mbinu za kuwapata na kujibu hizo msg nikazitumia zike mbinu zake alizonipa aisee sikuamini kuona staa mmujo akijibu coment zangu
Huyo jamaa ni hatar sana the boss we mkali maujanja yako yamefanya saiv nina namba ya nandy na shilole

Kwa kweli Mungu atuepushe tu. Mie nimetoka home kwetu naambatana na mume wangu sio mama yakeKweli kabisa na hata sipati picha wanavyoishi humo ndani mana itakuwa yeye ndio mpangaji wa kila kitu utadhani nyumba ya kwake.
M'Mungu atuepushie aunt yake mana wakwe wengine ni majanga.
Ungetupia na picha za hao watu ili tukushauli vzurhabari za maisha wana jf! naombeni kushare na nyie kuhusu hichi kitu kinachonikabili kwan naamini naweza kuelewa maisha jinsi yalivyo kwa kuwa kila siku tunajifunza.
Mimi nmeolewa miaka 6 iliyopita n am 31 now! mume wangu ndio kila kitu kwangu nampenda sana namhurumia namthamini pia...vile sina wazazi na nmezaliwa peke angu bas mume wangu nmemchukulia km ndo kaka, baba, mama, dada na kila kitu!
yaan jinsi nilivyo yaan simfichagi hata kitu ktk maisha yangu...furaha huzuni kila kitu anajua....napenda sana kupiga nae stori umbea n.k yaan tukianza kusengenya mtu weeeeee! nmezoea kwake kwan sinaga hata rafiki wa karibu sina mazoea na watu saaaanaaa..
Lakiniiii kitu ambacho kinaniumizaa bwana ni life style yy na bi mkubwa wake...mama ana tabu huyo cjapata ona! nmpenda sana lkn hapendeki! yaan sielewi ana tatizo gani....anamwekea mtoto ake biz sana kiasi kwamba ile furaha yangu nahisi inatoweka! na mtoto nae (mume) yy na mamake humuelezi kitu! anatupangia tuishi vile anavyotaka yy...sisi tukiplan kitu chetu yy anaenda anaharibu...hafla unamuona mtu hakupatilizi tena!
ni mda mrefu hili tatizo nmelifanyia uchunguzi nmegundua ni mama ndie anaharibu!
ni stori ndefu sana cpendi kuwachosha lkn sasaiv mume wangu sina stori nae....anaongea na mamake na sim mda wote! hata sokoni wanaenda wote napangiwa budget na ma mkwe tena anambia kabisaa nyanya hizo mwezi mzima!
kwanini imekuwa hivi ikiwa me ni mke nna kazi nna biashara najua kutafuta na mume wangu kipato chake kidogo sana! nikijaribu kumuuliza anakasirika ndo ctoongeleshwa cku tatu mtu kanuna!
mara mama mtu amfate mwanae asbh cjui wanaenda wapi!!? siambiwi wala siulizi! utakuta tumekaa watatu hafla wanaanza kunong'onezana...jamaniiii!!!??
baadhi ya watu wameshaiona hii picha naskiaga ckiaga tu wanasema mhhhh yule kaka anamsikiliza sana mamake naskia hata rafiki zake wanamwambia awe na msimamo na maamuzi yake...lakn wapiiiii!!!! jamani sina furaha...
hivi ndio wanaume wote walivyo au ni huyu wangu tuu?? naombeni ushauri kwani naumia sana hlafu nahisi kupoteza mapenzi na huyu mama...nmevumilia mengi sana kwake!
wasambaa hatuko hivyo ushindweeusijali wasambaa ndivyo walivyo..