Kumbe wanaume ndio wapo hivi!?

Kwa mujibu wa wahenga: UKIPENDA UTUNDA PENDA NA UA LAKE...
Usiishi bila kufanya rejea ya wahenga kwa kila maisha ipitiayo
 
Hapa kuna kitu umekiongea na kina ukweli. Haya upendo usio na mipaka kati ya mama na kijana, possibly utakuwa ulikuwepo tangu wakiwa wana-date ila sijui ndo mahaba yalikolea akaignore the red flags
 
Ni huyo tuu... unataka ufanye Research ama upo na wazo gani kwa sasa.? Jipe moyo, mema yapo mbeleni
 
Pole mumy...!!jiongezee wanaume atupo ivo kabisa#matatizo
 
Kwani we na Mumeo hapo Dar mnakaa sehemu gani.

Maana nasikia wanaume wa Dar, wanaume wa Dar. Au na nyie wa mkoani
 
Asa mume mnapiga umbea, mnasengenya Mtu apo kuna mume kweli, we sema mke mwenzako.... Na hayo ndo matokeo ya watu kama hao wala usilaumu.... Mumeo ana vinasaba vya kike, ndo maana anawezakupiga umbea, jambo mkipanga lazima alipeleke kwa Mama ake, na ukichunguza utakuta c kwa Mama ake tu, basi hapo huna mume bali ni shoga ako
 
Duh!!! Pole sana.
I try to wear you shoes but cha kushoto kimenibana na kingine cha kulia kimenipwelepweta.
And you mention being an orphan, hadi chozi limenitoka.

My dear, talk to your husband. Muulize mnanong'onezana nini ambacho hamuwezi ongea mbele yangu? Na kwanini mama akuoangie nyumbani kwako?Si abaki mpenzi mtazamaji, Au mnanisema vibaya? Au pengine wanataka uondoke uende mbali uwaache wenyewe. Na hii hali ya kuwa yatima huna hata wa kumwambia. Aisee, pole sanaa. Tena sanaa.

Nimejisikia vibaya as if nimetendewa mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…