Kumbe wanaume ndio wapo hivi!?

Nitakuwa namjua mumeo vizuri sana.. Nimejitaidi sana kumsema mumeo kuhusu hiyo tabia ..lakini anasema wanawake hawaminiki ndo maana mambo yake mengi anamshirikisha mamake... Kiufupi hawezi kubadilika naukimlazimisha asiwe karibu na mamake mtaachana.
 
Sasa mkuu kwan ukijua kwamba wote hawako ivo kam uyo mwenz wako... then wat shud be nxt... Huyo utamuacha uende kwa mwingine ambaye hayupo ivo?

Em tulizana bs ka mwanamke mwny kujielewa n aliye makin kam jnc unavoonekana ulivyo... ,

suluhisho ya tatzo c kuongeza matatzo, rather ni kulikabili tatzo ulilonalo il lisije tokea tena, au ata kama liktokea tena tyar utakua n uzoef ktk namna ya kulitatua, upo mkuu? ...

Mungu katupa uwezo huo thus ukiamua utaweza tu...
 
Kama mnakaa nyumbani kwa wazazi wa mwanaume muhame mara moja
Mshauri mumeo muende mbali ma mkwe
 
Kwa kweli Mungu atuepushe tu. Mie nimetoka home kwetu naambatana na mume wangu sio mama yake
Kweli kabisa kama kuja bora aje kusalimia na kuondoka na sio hayo mambo ya kusindikizana mpaka sokoni lol.

Ila ndio hao wakipata wakwe washari wanachambwa mpaka basi.
 
Kweli kabisa kama kuja bora aje kusalimia na kuondoka na sio hayo mambo ya kusindikizana mpaka sokoni lol.

Ila ndio hao wakipata wakwe washari wanachambwa mpaka basi.
Utaambiwa mke hupendi ndugu wa mume, sasa kwa style ya huo ujinga nani atawapenda?
 
Utaambiwa mke hupendi ndugu wa mume, sasa kwa style ya huo ujinga nani atawapenda?
Wa hivyo hata kama ni mimi siwezi nikampenda aisee. Mana kama huyo mtoa uzi hata raha na mume wake hana.

Saa nyingine aunt unaweza peleka mawazo mbali zaidi ukajua kuna kitu zaidi ya umama mana kama hadi ikitokea wamekaa watatu hawaoni shida kunong'onezana si hatari hiyo.
 
Hajiamini;-Pengine anaelewa kabs anachofanya hakiko poa ila Hajui ajitoe Vipi ktk hiyo Hali+
HampenDi Mama yake kwa DHATI ila Anamwogopa, Siku akifunguka ATAMPONDA SANA MAMA YAKE MBELE YAKO
My mother went through this a while ago when i was still a Baby n later on a CHILD, ila ilikua ni kwa upanDe wa Mashemeji (Wa kiume)..Nlichojifunza ni kwamba Ukioa kaa Pembeni kiDogo na wazazi/nDugu ili kuepusha tafrani zisizo za Lazima
Kikubwa ni ku"Adopt" namna ya kwenDa nao sawa, Ujue namna ya kula na kipofu or tafuta mtu Mzm kidogo mwenye Busara anaweza kukupa maneno yenye shibe zaiDi maana Ukiona nyani Mzee Basi kakwepa ........
 
TE="nanyupu, post: 21602536, member: 379829"]Sisi wasukuma hatuko hivyo jaman lakin pole[/QUOTE]

Mko kama mtemi chengw
 
Pole sana...
Hiyo ndiyo tafsiri hali ya mtoto wa mama...

Hivi bado kuna wanaume ni watoto wa mama...


Cc: mahondaw
 
Eeh watu watawawazia vibaya tu kwa kweli, kijana wako ana mke wake ila unataka wewe ndo uwe naye muda wote kuliko mkewe, umerogwa?
 
Kwanza tutake radhi wanaume,,, kosa la mme wako usi-generalize ndo wanaume wote tuko hvo

Pili pole sana kwa kuolewa na mama's boy

Tatu lawama zinarudi kwako hv mnaelewaga nn maana ya watu kua wenye uchumba. Coz huez sema hz tabia kaanzisha baada ya kukuoa tatzo lenu mnakurupukia ndoa mkihisi mtu atabadilika mbeleni

Ushaur upole ukizid sana ni utumwa ongea nae ukiona hataki kubadilika achana nae coz umesema una kaz na kipato chako jenga maisha yako mwenyewe
 
Kwa mujibu wa wahenga: UKIPENDA UTUNDA PENDA NA UA LAKE...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…