Kumbe wanaume nao huingia katika Hedhi!

eehh wanaume walivyokuja juu dahh.. ehh wanapinga hao jaman..
ndg mwandsh asi kaomba mfanya utafiti sasa mbona mnapinga tu jaman??????????
asi mjichunguze kwadha??...raha tupu km nawaona vle mnavyosonya ahh uyu demu vip ...lakin hhhhabbbari ndo iyo jaman KAKAZANGU kitu cha HEDHI paaaa pale kat...ivi kasema mnaingia siku ngap vile?

NATOA HOFA YA KUWANUNULIA MATAULO WANAUME WOTEEEEE....hedhi oyeeee!!!!!!!!!

ehh nisije nkadundwa apa ebu nile kona mie...mkumbuke kuwa wasafi panapo hedhi ehh kaka zangu????????

• Thanks
Reactions: SMU
Kuna siku tatu, nne au tano ambazo zitafanana katika dayari zote tatu, lini ana hasira ana masikitiko, ni mharibifu, na tabia nyingine kama hizo. Hivyo ndivyo vipindi vya hedhi kwa wanaume kama ilivyo kwa wanawake. Zoezi hili anaweza kufanya mwanaume yeyote, akishindwa kupata matokeo anaweza kuwasiliana na mimi na kuuliza ni kwa nini nimeandika uongo.

kilichobakia ni kutambia ya kuwa nasi tunapata ujaza uzito wa kimawazo na kifikra tu ila halijafanyiwa kazi kwa vile halijionyeshi kimwili na lipo kiubongo tu na kama tunabisha utatuambia tuweke na kutunza jarida la mabadiiko ya kimwili na tutalithibitisha hili...........................lakini ukweli unabaki palepale.....................men and women are equal and opposite.................................................hakuna kushahibiana...........................nikama wale wasemao ya kuwa wanaumme asi tunapoingia uzeeni tuna zile siku za uzee kama akina mama............lol..............................if I believe this bunkum then I will believe anything...................

Sidhani kama ni kweli,ila misukosuko ya maisha inakufanya ubadilikebadilike,si hedhi au dalili zake.

Huu ni udhalilishaji wa wanaume.

Ehh kumbe ata WANAUME WANADHALILISHWA?...hah hahh hah!!!!!!!!!

skujua mimi...so wamewadhalilisha kwa kuwaambia et mnaenda hedhi?..ila hamnunui MATAULO...ET?..et...hah !ha! ha! rahhhhaaaaaaaaaaaaamimi!!!!!!

wacha kuleta tafsiri potofu,hedhi ni kutoka damu kwa mwanamke au kwa uhakika zaidi soma kamusi upate tafsiri siyo kutuambia eti mwanaume anaenda hedhi toka lini,vilevile tofautisha mabadiliko ya mwili kinyota,mwandamo wa mwezi n.k mimi siyo mnajimu lakini uliyoelezea yapo katika elimu ya uajimu ndiyo sababu wataalamu hawa wanacheza na nyota yako katika siku fulani kwa kuangalia mzunguko wa mwezi siku hiyo na kukutabiria we unaona ni ukweli kumbe anacheza na akili yako tu.BADILI MADA YAKO IELEWEKE USIPOTOSHE.

Mimi nilipoona kichwa cha habari nilienda mbali zaidi. Nilikumbuka hadithi kuwa kuna baadhi ya "mashoga / ma anti", katika wiki ya mwisho ya mwezi hula mapapai mengi wakawa "wanaendesha kama ngisi" na kudai wako katika siku zao. (lol)!

Lakini baada ya kusoma nimefahamu umekusudia nini, ila hilo la kuita mihemuko, hisia kubwa, jazba (emotions) kwa wanaume kuwa ni hedhi nahisi umeenda mbali kidogo. Tayari pameshatolewa maana ya hedhi (mensturation), ambapo vile vile hisia kubwa za mhusika huonekana wakati huu, lakini ni matukio mawili tofauti.

Ama kuhusu mwanamume kuwa na siku za mihemuko kunaweza kuwa na sababu nyingi, furaha, huzuni, hasira, kicheko, tafrani...kutokana na matukio au hali zinazomkuta wakati fulani.

Lakini kwa kuungana nawe kidogo kuhusu mihemko ya wanaume, inawezekana pia kusababishwa (bado kuthibitisha kwa upande wangu) na mzunguko wa mwezi ambao una athari nyingi sana kwa binadamu, wanyama na mazingira kwa jumla.

Ningependa kujua Mkuu, ikiwa mwanamke akiwa katika hedhi siku hizi hawezi kupata ujauzito, jee ikitokea kuwa mwanamume yuko katika "hedhi" siku hizi asitumie kondom kwani mbegu zake haziwezi kusababisha ujauzito?

nafikiri hao wanaume wanaopitia hivo bac god aliwakosea kidogo wangekuwa madem washukuru mungu sana!!!

"THE ONLY ABSOLUTE TRUTH IS THAT THERE ARE NO ABSOLUTE TRUTHS"

Nillitaka kuendelea kusoma michango yenu lakini naona mmeshamjibu kiasi cha kutosha. Hapa nimekumbuka usemi usemao kwamba kusoma sio kuelimika!, anyway namshauri mtoa thread awe anasoma articles za utafiti kwa umakini yaani analytically kwanza, akishaelewa ndio anaweza kushirikisha na wengine, hii itasaidia kuzuia uletaji wa hypothesis za mtafiti akidhania ni conclusion za mtafiti.

mwanamume atabaki mwanamume na mwanamke atabaki mwanamke kwa kadiri ya lilivyo kusudi lake Mungu Muumba wetu!

utukufu una Yeye aketiye katika kiti cha enzi na Mwana Kondoo
Bwana apewe sifa!

mwanamume atabaki mwanamume na mwanamke atabaki mwanamke kwa kadiri ya lilivyo kusudi lake Mungu Muumba wetu!

utukufu una Yeye aketiye katika kiti cha enzi na Mwana Kondoo

Bwana apewe sifa!

Haleluya! Haleluya! Ameeeeen!!!!

eehh wanaume walivyokuja juu dahh.. ehh wanapinga hao jaman..

ndg mwandsh asi kaomba mfanya utafiti sasa mbona mnapinga tu jaman??????????

asi mjichunguze kwadha??...raha tupu km nawaona vle mnavyosonya ahh uyu demu vip ...lakin hhhhabbbari ndo iyo jaman KAKAZANGU kitu cha HEDHI paaaa pale kat...ivi kasema mnaingia siku ngap vile?

NATOA HOFA YA KUWANUNULIA MATAULO WANAUME WOTEEEEE....hedhi oyeeee!!!!!!!!!

ehh nisije nkadundwa apa ebu nile kona mie...mkumbuke kuwa wasafi panapo hedhi ehh kaka zangu????????

He! he! heee!!! Waaaapeeee!! Wamepanic vibaya, umewaona eeh? Sijui wanaogopa maskin!

Back
Top Bottom