Wewe unataka kutuharibia sasa! Wameshasema hazina MADHARA bana!
mmh! hii ni njia ya kutongezea kansa ya vizazi kwa sisi wanawake, hizi dawa lazima zinamadhara makubwa sana sikatai hedhi huwa inakera ila kwa hili siliafiki kabisa labda waseme hizi ni dawa kwa wanawake ambao hawazai tena maana kwa mwanamke anayataka kuzaa atajuaje kuwa huu ni muda wa yeye kuweza kubeba mimba???
mmh! hii ni njia ya kutongezea kansa ya vizazi kwa sisi wanawake, hizi dawa lazima zinamadhara makubwa sana sikatai hedhi huwa inakera ila kwa hili siliafiki kabisa labda waseme hizi ni dawa kwa wanawake ambao hawazai tena maana kwa mwanamke anayataka kuzaa atajuaje kuwa huu ni muda wa yeye kuweza kubeba mimba???[/QUOTE]
Kama anatumia uzazi wa mpango, akiamu kubeba mimba si anaacha, then anatumia UPT, pale anapohisi dalili za ujauzito...................
Hahaha!Wewe sema tu unataka kutuharibia............... hebu soma hiyo link utaelewa wlichosema wataalamu
mmh! hii ni njia ya kutongezea kansa ya vizazi kwa sisi wanawake, hizi dawa lazima zinamadhara makubwa sana sikatai hedhi huwa inakera ila kwa hili siliafiki kabisa labda waseme hizi ni dawa kwa wanawake ambao hawazai tena maana kwa mwanamke anayataka kuzaa atajuaje kuwa huu ni muda wa yeye kuweza kubeba mimba???[/QUOTE]
Kama anatumia uzazi wa mpango, akiamu kubeba mimba si anaacha, then anatumia UPT, pale anapohisi dalili za ujauzito...................
we agent wao nin? Ahaa ahaaa ahaaa
yai linapopevuka, kisha likawa halijarutubishwa hutoka. mji wa mimba unapokuwa teyari ili kupokea yai lililorutubishwa kisha yai halijarutubishwa ukuta huanguka , matukio haya yana result kwa kutoka na damu kupitia njia ya uke ( ****).
swali. Je dawa hii inazuia yai lisipevuke kama jinsi dawa ya uzazi wa mpango inavyofanya.?
Kwa vyovyote tunapo lazimisha mwili kutenda tofauti na mfumo wake wa asili lazima patakuwa na madhara, japowa madhara yanaweza yasionekane wazi wazi.
Mungu alipoweka mfumo huu katika miili ya wanawake, haikuwa bahati mbaya, kulikuwa na kusudi la kibaologia na kiafya.
wenzetu walioendelea wamekuwa wakibadili mifumo na taratibu za kimaumbile na tumekuwa tukiipokea bila kujiuliza, wanajaribu kufanya mwanamke ili aishi maisha kama mwanaume ( haki sawa kwa wote) wakipinga wanachokiita mfumo dume.
SWALI: Kama tunakubali wanawake wawe na haki sawa kama wanaume na kuishi maisha sawa na wanaume, SASA, Hao wenzetu wa huko wametutaka na sisi wanaume tuishi sawa na wanawake, tuolewe kama wao ( ndoa za jinsia moja) hapooo, ikawa shida. Tukikataa hili tukatae na yote,( haki sawa kwa wanawake na wanaume), hapatakuwa na usawa kama hatutakuwa sawa nao.
(onyo): Haya si maoni yangu kunamtu nilimuachia computer yangu akaandika haya ( sihusiki)
Hapo sasa.huo ndo ukweli vitakuwa na madhara tu. Unadhani iyo hedhi(damu) itaenda wapi? Na itatokaje?
Watu wanajaribu sana kupingana na maumbile ila amini nakwambia madhara ni makubwa kuliko tunavyodhani au kufikiri... Hizi saratani za vizazini na matiti zinatokea mbali ati..
hii mimi sioni kama habari njema kwa kina mama kwani Mungu anajua umuhimu wa period kwa wanawake,hiyo inawapambanua ni viumbe wa tofauti na wanaume wanajisikia vema,wanawake wanapokosa huwaza sana kulikoni.napenda ujue kuwa ndiyo maana kuna kikomo kwa mwanamke kupata period(menapose) kaunzia age 45-,ukiinterfear mzunguko huo itakula kwako,na hautaupata milele,kaulize waliotumia vipandikizi mpaka leo wengine wanahaha kupata watoto wasipate, mama ngina asiguse kitu hii.[/QUOTE]
Nimefungua mjadala na mama Ngina juu ya jambo hilo, tukikubaliana, basi atatumia...................!
Mfumo asili hauruhusu vyote ulivyovitaja ila binadamu kwa ujuaji wetu tumekiuka mfumo asili na matokeo yake ni kama unavyoona...magonjwa mapya kila kukicha tena yasiyotibika...hizo ni adhabu zitokanazo na ukiukwaji wa mfumo asili.Kama unazungumzia mfumo asili, mbona tunaenda kinyume sana na huo mfumo asili katika maeneo mengi, lakini hampigi kelele, ili hili tu, mnataka kunitoa macho............. ngoja nitaje haya machache......
Je, mfumo asili unaruhusu kulawitiana?
Je, mfumo asili unaruhusu kutumia dawa za zazi wa mpango?
Je, mfumo asili, unaruhusu kunyonyana ndimi na sehemu za siri ili kupata ashiki ya kujamiiana?
Je, mfumo asili unaruhusu watu kutumia dawa za kuongeza maumbile yao?
Upuuzi mtupu..
Watoe madhara yake wote tujue
Asprin Ukizidisha vidonge vina madhara
unataka kuniambia hii ya kufunga hedhi haina madhara
Inaniudhi sana sababu wale wanawake ambao hawana ujuzi
sana kuhusu haya mambo wanadanganyika sana kwa kweli..
Kila kitu kina madhara , hata maji ukiyanywa sana yana madhara...
sitaki kitu chochote kinachoweza kubadili utaratibu wa mfumo wangu wa uzazi....to me it is a NO NO!!Hivyo vitakuwa na madhara asee, hiyo hedhi itakuwa inapotelea wapi? Yaan atakaetumia atajuta manake kuna siku atapata hedhi ya miezi yote aliyoizuia isitoke..
Dr. David F Archer mtaalamu wa maradhi ya akina mama anasema kwamba, kuziona siku au hapana ni suala la mwanamke kuamua. kama hazioni kwa sababu ya matatizo, hapo ndipo panakuwa na jambo. Lakini kama hazioni kwa kuamua mwenyewe, kama vile kwa kutumia vidonge, hakuna madhara kabisa..................
Bado hamuamini tu!