kumbe wale viumbe wanapiga kazi 24hrs. yaani usiku na mchana..!!

UKIMWI hauwezi kuisha. Mia.

Na Condom pia haziwezi kuisha, as long utamu upo ngoma inogile





Hekima ni Busara, PAW
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
Ahsantee.gif
michael-jackson.gif

Kuwa na Busara
 
mkuu unafikili ni siri? haya mambo yapo wazi yanaeleweka. Mimi naona wanasaidia sana sababu hawa wa mtaani wanasumbua sana wakati wote tabia ni ile ile. hawa wanakupiga mzinga kisiri wale unaelewana nao kiroho nzuri. Mia

Kijana utumie ile mipira ya wakubwa lasivyo JF itakumis sana na uwe muangalifu sana sio pia unatujazia watoto wa mitaani. Enjoy Kijana wa 100






Hekima ni Busara, PAW
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
Ahsantee.gif
michael-jackson.gif

Kuwa na Busara
 
Du ukione hvyo nasi demand imekua kubwa kuliko supply so inabid wakeshe kama popo kukidhi haja ya wateja wao...Elfu

nikweli aisee..!!. nilipo pita nimekuta milango mingine imefungwa kwa ndani halafu kwa ndani kulikuwa na miguno miguno. mia
 
buguruniiiiii..! uongo....! eeeh unaosha rungu na wewe unaoshwa na ukimwi bomba tu mia hata mimi nasupport

ukimwi upo na unaua. kama uliandikiwa kufa kwa risasi utakufa kwa risasi tu. Mia
 
ulikuwepo kwa muda wa masaa 24? au uliwaonaje? mnh

kuna siku nilipita kama saa tisa usiku nikakuta wapo na leo mchana nmekuta wapo. ni barabarani tu. na vyumba vyao kna tv sub woofer na kila kitu. kwa hiyo kama unapita pale unasikia mziki tu. Mia
 
Kijana utumie ile mipira ya wakubwa lasivyo JF itakumis sana na uwe muangalifu sana sio pia unatujazia watoto wa mitaani. Enjoy Kijana wa 100






Hekima ni Busara, PAW



Mimi sifanyi hayo mambo. naangalia tu. mimi nina demu humuhumu ndani na anajua mpenzi wake alivyo mwaminifu. Muulize X-GIRLFRIEND atakupa story zangu. Mia
 
Kuna siku nilipita buguruni mida ya saa 12jioni,nilijionea wanawake wamejipanga wamekaa kwenye viti,nikaambiwa wanajiuza,ukweli nilishangaa but ndo reality
 
Niende tafuta nini nna kitu changu kimetulia, nakila taratiiibu.
Kinanihamasisha kweli hadi wakati mwingine naenda kukipiga chabo kikioga
nakisinzikiza kazini mwenyewe

kwa kweli mapenzi yakipungua ntakiomba kiniwekee limbwata
kupenda ukapendwa ni raha jamani

kongosho na wewe unaendaga pale?
 
Back
Top Bottom