kumbe wale viumbe wanapiga kazi 24hrs. yaani usiku na mchana..!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kumbe wale viumbe wanapiga kazi 24hrs. yaani usiku na mchana..!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by figganigga, Dec 12, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Wakuu, wale viumbe wanaojiuza sasa hivi wanafanya kazi usiku na mchana. wenyewe wamepanga vyumba kabisa. na wamejiwekea sheria ya kutokugombania wateja, wewe ukifika pale unakuta wamekaa mlangoni na mavazi ya kimtego, kwa hiyo anayekuvutia ndio unaingia chumbani kwake. Leo nmepita maeneo yale jioni hii, ni kweli wale watoto wazuri asikudanganye mtu.ukimuona huwezi amini ka anajiuza. Kila figure unayotaka ipo ni hela yako tu. hadi nikajiuliza kwanini watoto wazuri wanafanya hii biashara? Mia
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Kama wateja wapo wafanyeje?
   
 3. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  ni wapi huko? sounds like uwanja wa fisi! kama ni uwanja wa fisi kweli kule haijaisha hiyo hali ya 24 hrs service, sijaskia sehemu nyengine
   
 4. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #4
  Dec 12, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  wameshazoea kila style mpaka ya kuruka kichurachura kwa ndoa utawaweza?
   
 5. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #5
  Dec 12, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Sodoma na Gomora imerudi.
   
 6. m

  mbweta JF-Expert Member

  #6
  Dec 12, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Pia wanastyle mpaka za mkopo.
   
 7. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #7
  Dec 12, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Kumbe na wewe ni Mteja mzuri? ulijuaje kuwa wamejiwekea Sheria ya kutokugombea wateja kama sio mnunuaji? au ni pimp

  Hekima ni Busara, PAW
  Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
  [​IMG][​IMG]
  Kuwa na Busara
   
 8. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #8
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni pale sudan street nyuma ya nmb wenyewe wanapaita kwa wahaya lakini ukifika pale wahaya hawapo kabisa. kuliko kuendelea kusumbuana na hawa wakina ntumie vocha mala sijui hela ya luku. demu unamuhudumia halafu na yeye unakuta ni kicheche vilevile. bola kukaa bila demu, mzux ukipanda unaenda kuosha rungu maisha yanaendelea. Mia
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Dec 12, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,217
  Trophy Points: 280
  ukiona hivyo ujue soko limekua.
   
 10. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #10
  Dec 12, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kongosho na wewe unaendaga pale?
   
 11. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #11
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280  mkuu unafikili ni siri? haya mambo yapo wazi yanaeleweka. Mimi naona wanasaidia sana sababu hawa wa mtaani wanasumbua sana wakati wote tabia ni ile ile. hawa wanakupiga mzinga kisiri wale unaelewana nao kiroho nzuri. Mia
   
 12. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #12
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  wale ni mademu mkuu. wenyewe wanauza mizigo. Mia
   
 13. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #13
  Dec 12, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  UKIMWI hauwezi kuisha. Mia.
   
 14. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #14
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwani hawajikingi nao?
   
 15. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #15
  Dec 12, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,143
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  sisi wanafunzi wanatumalizia stress
   
 16. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #16
  Dec 12, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,046
  Likes Received: 7,257
  Trophy Points: 280
  Jero wanadaka?
  mia.
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Dec 12, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  sasa hiyo mbunye itakuaje? hata unyayo unamapumziko

  aisee
   
 18. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #18
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Du ukione hvyo nasi demand imekua kubwa kuliko supply so inabid wakeshe kama popo kukidhi haja ya wateja wao...Elfu
   
 19. driller

  driller JF-Expert Member

  #19
  Dec 12, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  buguruniiiiii..! uongo....! eeeh unaosha rungu na wewe unaoshwa na ukimwi bomba tu mia hata mimi nasupport
   
 20. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #20
  Dec 12, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  ulikuwepo kwa muda wa masaa 24? au uliwaonaje? mnh
   
Loading...