Kumbe wake za watu nao wanajiuza?

Kumbe wake za watu nao wanajiuza?

Sijachelewa kuchangia. Naomba niseme hivi;
Kweli Muumba aliumba; Mume mmoja kwa mke mmoja tu. Ndo maana ni maungo mengine huzeeka ila kiungo hicho hakizeeki. Na naamini kwa hilo niko sahihi kabisa. Tungekuwa tunatafuta njia zingine baadaya kupata mtoto.
Sasa, bahati hii wengi huitumia vibaya kwani ndo maana anaweza kujifanya kwenda msalani kumbe lijamaa linangojea huko na kwa sekunde chache anarudi kuja kukupoozesha wewe mwenye mali. Mwanamke kama hana tabia njema, aweza kuishi na waume 4 kwenye nyumba moja na msielewane bali mnamjua mumewe tu. Nimelishuhudia Kinondoni. miaka 2 mambo yakiendelea hadi familia hiyo ilipohamia mikoani.
 
Hayo mambo ya kawaida.. Itakua nyoka kakumbuka pango lake.. Inaelekea ndo kawaida alikua nayo kabla ya kuolewa.. Sasa hapa n kama anakumbushia tu
 
Sijachelewa kuchangia. Naomba niseme hivi;
Kweli Muumba aliumba; Mume mmoja kwa mke mmoja tu. Ndo maana ni maungo mengine huzeeka ila kiungo hicho hakizeeki. Na naamini kwa hilo niko sahihi kabisa. Tungekuwa tunatafuta njia zingine baadaya kupata mtoto.
Sasa, bahati hii wengi huitumia vibaya kwani ndo maana anaweza kujifanya kwenda msalani kumbe lijamaa linangojea huko na kwa sekunde chache anarudi kuja kukupoozesha wewe mwenye mali. Mwanamke kama hana tabia njema, aweza kuishi na waume 4 kwenye nyumba moja na msielewane bali mnamjua mumewe tu. Nimelishuhudia Kinondoni. miaka 2 mambo yakiendelea hadi familia hiyo ilipohamia mikoani.

Duuu, ama kweli kazi tunayo!
 
Wewe unaejuwa soma Biblia nimebandika juu hapo, nipe maana yake.

Halafu soma na hii uone "Mungu" anavyotaka hauna, mara hawatauona mara wao ndiyo wa mwanzo kuuona...

Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.

....unaona raha sn kuokoteza mistari miwili mitatu kwenye bible thn una-interprete unavyotaka wewe!,ili ujifurahishe wewe na wale wajinga wenzako!, labda huko kwenu mnakopiga watu mpk mnawaua ndio hawataurithi ufalme wa mungu wenu,ila Mungu wetu sisi anajua sote ni wadhaifu,na nafasi ya kutubu ametupa!,sasa wewe endelea kupoteza muda wako,kufuatilia yasiyo kuhusu!.

Huku kwetu tunafundishwa kuwapenda hata maadui, hivyo basi,hizi mbwembwe zako tunakuona km mwanasesere tu,aliyejitolea kutuburudisha huku!
 
Sio kujiuza tuu udhaifu wao unawaponza sana yani anaweza akawa na kila kitu ila Basi Tu wakishatamani kwisha anaweza hata kuchepuka na MTU wa ajabu
 
Surely FaizaFoxy, ni wewe binadamu uliyeumbwa na Mungu unasema anasahausahau?

I can't believe my eyes what am reading from your comments,

Please go back and read numbers 23:19.

For this comments of yours, I can't keep quite rather ask God to forgive you as you know not what you are talking.

Sasa nambie, haya maneno ya Mungu au binadamu?...

Jesus lost "None" of his disciples john 18:9
Contradicted by: He lost only "One" john 17:12
 
....unaona raha sn kuokoteza mistari miwili mitatu kwenye bible thn una-interprete unavyotaka wewe!,ili ujifurahishe wewe na wale wajinga wenzako!, labda huko kwenu mnakopiga watu mpk mnawaua ndio hawataurithi ufalme wa mungu wenu,ila Mungu wetu sisi anajua sote ni wadhaifu,na nafasi ya kutubu ametupa!,sasa wewe endelea kupoteza muda wako,kufuatilia yasiyo kuhusu!.

Huku kwetu tunafundishwa kuwapenda hata maadui, hivyo basi,hizi mbwembwe zako tunakuona km mwanasesere tu,aliyejitolea kutuburudisha huku!

Siokotezi, hiyo ndiyo Biblia, soma hii unipe jibu wewe unambie ipi sahihi :

Jesus lost "None" of his disciples john 18:9
Contradicted by: He lost only "One" john 17:12
 
Siokotezi, hiyo ndiyo Biblia, soma hii unipe jibu wewe unambie ipi sahihi :

Jesus lost "None" of his disciples john 18:9
Contradicted by: He lost only "One" john 17:12

FaizaFoxy;
Sijui jinsi unavyoisoma hiyo biblia yako lakini, nimeona ni vyema tu nikushauri. Usiisome biblia ili kutafuta makosa kwani hutakaa uone kosa lolote humo. Kuhusu mistari yako inasema hivi;
John 17 : 12 While I was with them in this world, I kept them in your name; those that you gave me I have kept, and none of them is lost, but the son of perdition (destruction); that the scripture might be fulfilled.
John 18 : 9 That the saying might be fulfilled, which he spoke. Of them which you gave me have I lost none.
Haya ni maneno ambayo aliyasema Mwokozi wa ulimwengu huu akimaanisha kuonesha utimilifu wa maandiko ambayo yalinenwa zamani saana miaka zaidi ya 750 kabla hata hajazaliwa ulimwenguni. Akionesha ni jinsi gani Mungu hulitimiza neno lake. Zaburi 41 : 9. na Zaburi 109 : 8. Maandiko hayo yanaelezea unabii ambao Mungu aliutoa kabla ili yaje kutokea hayo yatuthibitishie kuwa Kristo ndiye Mwokozi wetu.
John 18 : 9 inatuthibitishia zaidi kuwa hata leo hii. Hatuwezi lolote kama Yesu Kristo haendelei na maombezi yake kwa Baba kwa ajili yetu na ni yeye anaendelea kutulinda tusiangamizwe na ulimwengu huu. Ulimwengu ulimchukia Yesu je sisi wafuasi wake?? FaizaFoxy, Usiogope kumpokea huyu Mwokozi wa ulimwengu kwani ameahidi kukulinda all the way thru to heaven, even if yu are a woman, there is a place for a Christian woman there in heaven.
 
Mnashangaa nini wakati huo ukahaba Biblia imeubariki na eti hao makahaba ndiyo wa mwanzo kwenda katika ufalme wa Mungu aka mbinguni aka peponi.

Sasa niambieni mkristo yupi asiyetaka kutangulia kwenda kwenye ufalme wa Mungu, mbinguni?
Umeanza sasa na udinivwako ila nasikia umekwaa U-DAS hongera sana
 
Wewe Wacha porojo zako weka mistari ya Biblia.

Birth of females a DOUBLE pollution, leviticus 12:1,2,5

Halafu wewe unasema Biblia haina makosa, hawa wakristo wenzako wanasema ina makosa, tukuamini wewe au wao? Naona tuwaamini wao kwa kuwa wameweka ushahidi wa kutosha wa hayo makosa, wewe umekuja na porojo zako binafsi bila ushahidi wowote. Soma...

Is it possible for The Bible to contain errors?
 
Mnashangaa nini wakati huo ukahaba Biblia imeubariki na eti hao makahaba ndiyo wa mwanzo kwenda katika ufalme wa Mungu aka mbinguni aka peponi.

Sasa niambieni mkristo yupi asiyetaka kutangulia kwenda kwenye ufalme wa Mungu, mbinguni?

Hivi we Mwanamke unajitambua kweli?
 
Pole pole mkuu, wakati mwingi haya mambo hufanywa kwa kificho. Sijui tufanye nini kujiokoa? Manake ukiona kwa mwenzio ujue yaelekea kuwa huo ndio mwelekeo wa jamii!
Just be straight.........Manake ukiona kwa mwenzio ujue ..................................na ya kwako uliwa
 
Nakusifu sana mtoa mada kwa uzi huu ulioleta hapa jamvini. Ni ukweli usiopingika kuwa hayo yapo sana. Japo kwa upande wa pili wa shilingi hata hao wanaume wanaopita nao hao wake zetu pia nao ni makahaba tu. Maana nao wana wake zao huko kwao. Sijafurahishwa sana na wanao nukuu maandiko matakatifu kufurahisha nafsi zao au kwa makusudi potofu... sio njema kabisa. Huo ni upungufu wa imani na kutokukua kiroho. Kama hujui kitu acha au uliza kwa wanaojua uelimishwe, elimu haina mwisho. Isitoshe kama pia sio wa imani hiyo kwanini unukuu vitu usivyovijua mfano kuchukua mstari mmoja badala aya nzima yenye ujumbe husika.. unakuwa unamaanisha nini. Ni ujuha au ni makusudi. Sitaki kufika huko, lakini mnakela sana wenye tabia hizo na kuna siku ili mwamini nadhani MUNGU atawaonesha kitu fulani katika maisha yenu ndio kweli mjue yupo au hayupo. Yatosha kwa sasa.
am really touched by your feelings, I felt the same yesterday.
 
unafikiri sikusoma mpaka la saba au? najua kutofautisha lugha yetu na ya malkia.
Miaka yetu hii tulikuwa tunaanza kujifunza darasa la tatu.
Ilikuwa hatari sana kwenye matamshi.
Nilijua kutamka "pineapple" nikiwa darasa la sita.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom