Kumbe wake za watu nao wanajiuza?

Mnashangaa nini wakati huo ukahaba Biblia imeubariki na eti hao makahaba ndiyo wa mwanzo kwenda katika ufalme wa Mungu aka mbinguni aka peponi.

Sasa niambieni mkristo yupi asiyetaka kutangulia kwenda kwenye ufalme wa Mungu, mbinguni?

....kama hujui maana ya kitu bora ukae kimya tu,ulitaka na sisi tufundishwe kuwapiga mawe mpk wafe?, halafu nyie mnaowapiga mawe ndio mtaenda peponi?, sijui akili zenu mmeziweka wapi!
 
Tatizo kubwa ni pale ambapo wewe umeamua kwa dhati kabisa kuiheshimi ndoa na mwenza wako, lakini yeye ameamua kujirahisisha na kuidhalilisha familia. Mwisho anakuletea maradhi na kukusababishia anguko kubwa.
Eli79 una mawazo chanya kila siku. Mungu akutunze
 
Mathayo 21:31

...Basi Yesu akawaambia, Amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika ufalme wa Mungu.
FaizaFoxy, sio kosa lako kutafsir Biblia kama kitabu cha hadithi, usipokuwa na Roho wa Bwana ni ngumu kuelewa Biblia.

Kwa hiyo sion sababu ya watu kukushambulia kwa maneno kwa jinsi ulivyofikiri ni kwamba tu kwa vile huelewi Yesu alikuwa anamaanisha nini.
Ubarikiwe
 
Weekend iliyopita nilitoka na jamaa yangu aliyenitembelea, tukaenda sehemu moja iko busy sana jina nalihifadhi. Kuna live band, club, vyakula na vinywaji almost kila variety.

Kina dada hujichanganya sana kwenye eneo hilo. Jamaa yangu huyo ni mpenzi wa mambo yetu yale, hivyo kadri alivyokuwa akipata moja baridi ndivyo ari ya kupata kimwana mmojawapo ilivyokuwa inaongezeka.

Baadaye aliamua kumwita mhudumu amwitie kimwana aliyekuwa amevutiwa naye.

Walikwenda pembeni kidogo kujadili, baadaye jamaa yangu huyo akarudi akaniambia amekubaliana kwenda kumgegeda huyo kimwana lakini akaomba kwa vile sio mwenyeji nimpeleke lodge.

Nikampa ufunguo ili watangulie kwenye gari, baadaye nilikwenda na kuwakuta wamo ndani ya gari tayari, nilimsalimia huyo kimwana, sauti yake ikawa sio ngeni masikioni mwangu. Nilipogeuka sikuamini macho yangu kuwa ni mke wa jirani yetu mtaani. Sikuwa na la kufanya zaidi ya kumwambia jamaa yangu aje aendeshe gari mwenyewe, Nikatoa udhuru. Jamaa yangu alinipa mrejesho kapewa mambo si kawaida.

Sasa ninachojiuliza ni kuwa kumbe hata wake za watu wanajiuza?
Mkuu, kwani unafahamu kabla ya kuolewa alikuwa anafanya shughuli gani ?? Hao mabinti wanaojiuza ukikutana naye mchana huwezi kumfahamu, utatangaza uchumba na hatimaye ndoa, sasa kwa kuwa alishazoea kujipatia kipato cha ziada kwa kutumia huo ujasiriamali, hawezi kuacha.
 
....kama hujui maana ya kitu bora ukae kimya tu,ulitaka na sisi tufundishwe kuwapiga mawe mpk wafe?, halafu nyie mnaowapiga mawe ndio mtaenda peponi?, sijui akili zenu mmeziweka wapi!

Wewe unaejuwa soma Biblia nimebandika juu hapo, nipe maana yake.

Halafu soma na hii uone "Mungu" anavyotaka hauna, mara hawatauona mara wao ndiyo wa mwanzo kuuona...

Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
 
Mathayo 21:31

...Basi Yesu akawaambia, Amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika ufalme wa Mungu.

Hiyo inamaanisha kuwa Yesu alikuja kwa ajili ya kuokoa waliopotea(wenye dhambi) wakiwemo makahaba na watoza ushuru. Kama binadamu asingetenda dhambi, Yesu asingekuja duniani. Lakini hiyo aya haihalalishi ukahaba. Isome vizuri.
 
FaizaFoxy, sio kosa lako kutafsir Biblia kama kitabu cha hadithi, usipokuwa na Roho wa Bwana ni ngumu kuelewa Biblia.

Kwa hiyo sion sababu ya watu kukushambulia kwa maneno kwa jinsi ulivyofikiri ni kwamba tu kwa vile huelewi Yesu alikuwa anamaanisha nini.
Ubarikiwe

Hakuna tafsiri yangu hapo, nimebandika kama ilivyo. Kama unaona hiyo ni tafsiri yangu, weka wewe hiyo mistari ya Biblia yako tuone kama u mkweli.
 
Wewe unaejuwa soma Biblia nimebandika juu hapo, nipe maana yake.

Halafu soma na hii uone "Mungu" anavyotaka hauna, mara hawatauona mara wao ndiyo wa mwanzo kuuona...

Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.

Ni kweli imeandikwa, lakini mukitadha wake ulikuwa upi?
Waliotajwa wote wapo. Kazi ya neno la Mungu ni kuwabadilisha watu ili wasiangamie bali wabadilike, waache matendo maovu, ili waweze kusamehewa na hatimaye warithi ufalme wa mbinguni.
 
Mkuu, kwani unafahamu kabla ya kuolewa alikuwa anafanya shughuli gani ?? Hao mabinti wanaojiuza ukikutana naye mchana huwezi kumfahamu, utatangaza uchumba na hatimaye ndoa, sasa kwa kuwa alishazoea kujipatia kipato cha ziada kwa kutumia huo ujasiriamali, hawezi kuacha.

Kuamini mara nyingi mpaka mtu aone!
 
Hiyo inamaanisha kuwa Yesu alikuja kwa ajili ya kuokoa waliopotea(wenye dhambi) wakiwemo makahaba na watoza ushuru. Kama binadamu asingetenda dhambi, Yesu asingekuja duniani. Lakini hiyo aya haihalalishi ukahaba. Isome vizuri.

Wewe unaleta maneno yako. Weka mistari ya Biblia.

Halafu soma na hii uone "Mungu" anavyosahau sahau mara hawatauona mara wao ndiyo wa mwanzo kuuona...

Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, walawatukanaji, wala wanyang'anyi.
 
Tofauti ya huyo mke wa jamaa ni ameenda sokoni kabisa lakini wako wake zetu wengi tu walioko majumbani ukiwatongoza wanakubali ila cha kwanza utapigwa mzinga wa elfu 50 ya kusuka ili mkikutana awe smart..na hii pia ni kujiuza...
ahahaaa manuu bna.utasababisha tusipewe hela ya saluni ujue
 
Ni kweli imeandikwa, lakini mukitadha wake ulikuwa upi?
Waliotajwa wote wapo. Kazi ya neno la Mungu ni kuwabadilisha watu ili wasiangamie bali wabadilike, waache matendo maovu, ili waweze kusamehewa na hatimaye warithi ufalme wa mbinguni.

Hizi porojo zako zina maana zaidi ya Biblia?

Weka mistari ya Biblia, usinilishe maneno yako. Au huiamini Biblia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom