Kumbe wake za watu nao wanajiuza?

Kumbe wake za watu nao wanajiuza?

Rejea Bukwabi's comments, have nothing to add to that and mind you no one has his/her own Bible.

You want us to discuss in English? Swahili Bible wasn't good enough?

Read and let us know what it means is it ruksa Kula nyama ya mtu?

28:53King James Version (KJV)
53 And thou shalt eat the fruit of thine own body, the flesh of thy sons and of thy daughters, which the Lord thy God hath given thee, in the siege, and in the straitness, wherewith thine enemies shall distress thee:
 
Faiza, I do understand swahili ndo maana nikakujibu, nime ongeza kingereza tu kuweka msisitizo.

nani na wapi kwenye Biblia kumeruhusu kula nyama ya mtu? and for sure ukiwa jf kwa hasira hutoboi!!!

am learning also.
 
Wewe unaleta maneno yako. Weka mistari ya Biblia.

Halafu soma na hii uone "Mungu" anavyosahau sahau mara hawatauona mara wao ndiyo wa mwanzo kuuona...

Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, walawatukanaji, wala wanyang'anyi.
Surely FaizaFoxy, ni wewe binadamu uliyeumbwa na Mungu unasema anasahausahau?

I can't believe my eyes what am reading from your comments,

Please go back and read numbers 23:19.

For this comments of yours, I can't keep quite rather ask God to forgive you as you know not what you are talking.
 
If you're married and you're wrong, then you're wrong; if you're single and you're wrong, you're wrong. People are people. Married, single.....etc.

it's a true reflection of our decaying society
 
Weekend iliyopita nilitoka na jamaa yangu aliyenitembelea, tukaenda sehemu moja iko busy sana jina nalihifadhi. Kuna live band, club, vyakula na vinywaji almost kila variety.

Kina dada hujichanganya sana kwenye eneo hilo. Jamaa yangu huyo ni mpenzi wa mambo yetu yale, hivyo kadri alivyokuwa akipata moja baridi ndivyo ari ya kupata kimwana mmojawapo ilivyokuwa inaongezeka.

Baadaye aliamua kumwita mhudumu amwitie kimwana aliyekuwa amevutiwa naye.

Walikwenda pembeni kidogo kujadili, baadaye jamaa yangu huyo akarudi akaniambia amekubaliana kwenda kumgegeda huyo kimwana lakini akaomba kwa vile sio mwenyeji nimpeleke lodge.

Nikampa ufunguo ili watangulie kwenye gari, baadaye nilikwenda na kuwakuta wamo ndani ya gari tayari, nilimsalimia huyo kimwana, sauti yake ikawa sio ngeni masikioni mwangu. Nilipogeuka sikuamini macho yangu kuwa ni mke wa jirani yetu mtaani. Sikuwa na la kufanya zaidi ya kumwambia jamaa yangu aje aendeshe gari mwenyewe, Nikatoa udhuru. Jamaa yangu alinipa mrejesho kapewa mambo si kawaida.

Sasa ninachojiuliza ni kuwa kumbe hata wake za watu wanajiuza?

........................................Bukwabi.......................acha hizo bana..................................mbona we na jamaa yako wote mna wake,tena mme waacha home...............................kabla ya kujiuliza,kwanza jijibu mwenyewe..................Mbona wewe una mke na bado unakwenda kufata mambo yetu yale,...................................tena mbaya zaidi mko wawili na huyo jamaa yako.Hana tofauti yeyote na huyo mke wa jirani yako.................................oyaa acha hizo,.........................komaa mwana,we mtu mzima sasa UTASUTWA....................................ila nimekusamehe na iwe mwisho......................
 
Wewe unaleta maneno yako. Weka mistari ya Biblia.

Halafu soma na hii uone "Mungu" anavyosahau sahau mara hawatauona mara wao ndiyo wa mwanzo kuuona...

Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, walawatukanaji, wala wanyang'anyi.

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Pharaoh!
 
........................................Bukwabi.......................acha hizo bana..................................mbona we na jamaa yako wote mna wake,tena mme waacha home...............................kabla ya kujiuliza,kwanza jijibu mwenyewe..................Mbona wewe una mke na bado unakwenda kufata mambo yetu yale,...................................tena mbaya zaidi mko wawili na huyo jamaa yako.Hana tofauti yeyote na huyo mke wa jirani yako.................................oyaa acha hizo,.........................komaa mwana,we mtu mzima sasa UTASUTWA....................................ila nimekusamehe na iwe mwisho......................

Si rahisi kuzuia hobbies za mtu. Kama anapenda mi ningefanyaje?
Ya kaisari ......
 
Kuna mmoja mke wa mtu aliniambia nimpe robo ya mshahara wangu kila mwenzi ili anipe kitu roho inataka nikatoka nduki bila kitizama nyuma
 
Ngoja nikajigongee yule mama wa crdb pale nilete mrejesho
 
Niliona sehem kuna jamaa anakula njama na wife, wife anaenda kutega akibebwa tu jamaa anafika inabid alipwe mme kwa ufamaniz
 
If you're married and you're wrong, then you're wrong; if you're single and you're wrong, you're wrong. People are people. Married, single.....etc.

it's a true reflection of our decaying society
Hii lugha ya malkia bhana, hata sijaelewa Mkuu.
 
Nakusifu sana mtoa mada kwa uzi huu ulioleta hapa jamvini. Ni ukweli usiopingika kuwa hayo yapo sana. Japo kwa upande wa pili wa shilingi hata hao wanaume wanaopita nao hao wake zetu pia nao ni makahaba tu. Maana nao wana wake zao huko kwao. Sijafurahishwa sana na wanao nukuu maandiko matakatifu kufurahisha nafsi zao au kwa makusudi potofu... sio njema kabisa. Huo ni upungufu wa imani na kutokukua kiroho. Kama hujui kitu acha au uliza kwa wanaojua uelimishwe, elimu haina mwisho. Isitoshe kama pia sio wa imani hiyo kwanini unukuu vitu usivyovijua mfano kuchukua mstari mmoja badala aya nzima yenye ujumbe husika.. unakuwa unamaanisha nini. Ni ujuha au ni makusudi. Sitaki kufika huko, lakini mnakela sana wenye tabia hizo na kuna siku ili mwamini nadhani MUNGU atawaonesha kitu fulani katika maisha yenu ndio kweli mjue yupo au hayupo. Yatosha kwa sasa.
 
Kama ni mke atakuwa wa mtu. Wa kenge nani anamtaka?
 
Weekend iliyopita nilitoka na jamaa yangu aliyenitembelea, tukaenda sehemu moja iko busy sana jina nalihifadhi. Kuna live band, club, vyakula na vinywaji almost kila variety.

Kina dada hujichanganya sana kwenye eneo hilo. Jamaa yangu huyo ni mpenzi wa mambo yetu yale, hivyo kadri alivyokuwa akipata moja baridi ndivyo ari ya kupata kimwana mmojawapo ilivyokuwa inaongezeka.

Baadaye aliamua kumwita mhudumu amwitie kimwana aliyekuwa amevutiwa naye.

Walikwenda pembeni kidogo kujadili, baadaye jamaa yangu huyo akarudi akaniambia amekubaliana kwenda kumgegeda huyo kimwana lakini akaomba kwa vile sio mwenyeji nimpeleke lodge.

Nikampa ufunguo ili watangulie kwenye gari, baadaye nilikwenda na kuwakuta wamo ndani ya gari tayari, nilimsalimia huyo kimwana, sauti yake ikawa sio ngeni masikioni mwangu. Nilipogeuka sikuamini macho yangu kuwa ni mke wa jirani yetu mtaani. Sikuwa na la kufanya zaidi ya kumwambia jamaa yangu aje aendeshe gari mwenyewe, Nikatoa udhuru. Jamaa yangu alinipa mrejesho kapewa mambo si kawaida.

Sasa ninachojiuliza ni kuwa kumbe hata wake za watu wanajiuza?

Alilipa kiasi gani kwa huduma hiyo? Na je maisha yao ni ya hali gani - kipato cha dola moja kwa siku/ mlo mmoja kwa siku?
 
Kuna mmoja mke wa mtu aliniambia nimpe robo ya mshahara wangu kila mwenzi ili anipe kitu roho inataka nikatoka nduki bila kitizama nyuma

Du kumbe mifano mnayo!
 
Nakusifu sana mtoa mada kwa uzi huu ulioleta hapa jamvini. Ni ukweli usiopingika kuwa hayo yapo sana. Japo kwa upande wa pili wa shilingi hata hao wanaume wanaopita nao hao wake zetu pia nao ni makahaba tu. Maana nao wana wake zao huko kwao. Sijafurahishwa sana na wanao nukuu maandiko matakatifu kufurahisha nafsi zao au kwa makusudi potofu... sio njema kabisa. Huo ni upungufu wa imani na kutokukua kiroho. Kama hujui kitu acha au uliza kwa wanaojua uelimishwe, elimu haina mwisho. Isitoshe kama pia sio wa imani hiyo kwanini unukuu vitu usivyovijua mfano kuchukua mstari mmoja badala aya nzima yenye ujumbe husika.. unakuwa unamaanisha nini. Ni ujuha au ni makusudi. Sitaki kufika huko, lakini mnakela sana wenye tabia hizo na kuna siku ili mwamini nadhani MUNGU atawaonesha kitu fulani katika maisha yenu ndio kweli mjue yupo au hayupo. Yatosha kwa sasa.

Pamoja sana mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom