Kumbe wake za watu nao wanajiuza?

Kumbe wake za watu nao wanajiuza?

Miaka yetu hii tulikuwa tunaanza kujifunza darasa la tatu.
Ilikuwa hatari sana kwenye matamshi.
Nilijua kutamka "pineapple" nikiwa darasa la sita.
hahhahaah umenikumbusa kuna mkaka mmoja alishindwa kutamka "maharage" mpaka tunamaliza darasa la saba. mwalimu wa kiswahili akiingia alikuwa anaanza na yeye.

alikuwa anatamka "maharagwe"

yaan cjui y jaman ila inafurahisha.
 
Hivi we Mwanamke unajitambua kweli?
Hajitambui maana dini yao kila siku inaongelea wanaume ndio watawagegeda peponi kila siku watakuwa wana mbwato..... Hiyo ndio tuzo ya mwanamke wa kiislamu kupigwa vinu daily mbinguni...... Yani ni vinu tu ..... Dini inaruhusu kumpiga miti mkeo akiwa breed ila sharti "UMLIPE" ..Si umalaya huo ..huo ndio ukahaba wenyewe first class FaizaFoxy
 
Hajitambui maana dini hao kila siku inaongelea wanaume ndio watawagegeda peponi kila siku watakuwa wana mbwato..... Hiyo ndio tuzo ya mwanamke wa kiislamu kupigwa vinu daily mbinguni...... Yani ni vinu tu .....
hiyo avanter yako na maneno yakoni shidaaa
 
Kama umeoa/umeolewa na unakosea,unakosea tu, kama ni single na unakosea ,unakosea tu, haijalishi emoa/umeolewa au upo peke yako ...watu ni watu haijalishi
bhana uwe unaendeleza na quote za juu ili nijue umenisaidia lipi. nimeuliza mengi ati
 
Hiyo heading ilipaswa kusomeka 'kumbe wake za watu wakitongozwa na Wanaume wazinzi wanajiuza?'
 
hata huyo alomgonga mke wa mtu nae n mme wa mtu hivo nae anajiuza/ mzinzi,,, DUNIA ni hadaa walimwengu n shujaa.
Ha,haaaaa....jaman watu mnamajib matam sijawah sikia dah.ila ni kweli mwanamke akijiuza ataitwa ma....ya, ila mwanaume anayeenda kununua hanaga jina
 
Mathayo 21:31

...Basi Yesu akawaambia, Amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika ufalme wa Mungu.
Endelea na mistari inayofuata ili upate tafsiri kamili. Bilblia haisomwi kama MSAAFU
 
Almost Every Woman Is A Prostitute And Almost Every Man Pays For Sex.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom