Kumbe wake za watu nao wanajiuza?

Hakuna mwanamke asiyejiuza isipokuwa kila mmoja na style yke...
 
Weekend iliyopita nilitoka na jamaa yangu aliyenitembelea, tukaenda sehemu moja iko busy sana jina nalihifadhi. Kuna live band, club, vyakula na vinywaji almost kila variety.

Kina dada hujichanganya sana kwenye eneo hilo. Jamaa yangu huyo ni mpenzi wa mambo yetu yale, hivyo kadri alivyokuwa akipata moja baridi ndivyo ari ya kupata kimwana mmojawapo ilivyokuwa inaongezeka.

Baadaye aliamua kumwita mhudumu amwitie kimwana aliyekuwa amevutiwa naye.

Walikwenda pembeni kidogo kujadili, baadaye jamaa yangu huyo akarudi akaniambia amekubaliana kwenda kumgegeda huyo kimwana lakini akaomba kwa vile sio mwenyeji nimpeleke lodge.

Nikampa ufunguo ili watangulie kwenye gari, baadaye nilikwenda na kuwakuta wamo ndani ya gari tayari, nilimsalimia huyo kimwana, sauti yake ikawa sio ngeni masikioni mwangu. Nilipogeuka sikuamini macho yangu kuwa ni mke wa jirani yetu mtaani. Sikuwa na la kufanya zaidi ya kumwambia jamaa yangu aje aendeshe gari mwenyewe, Nikatoa udhuru. Jamaa yangu alinipa mrejesho kapewa mambo si kawaida.

Sasa ninachojiuliza ni kuwa kumbe hata wake za watu wanajiuza?

......... jamaa kamtuma muhudumu amwite alafu wakasogea pembeni kidogo kujadiliana wewe hukumuona hadi kwenye gari??? Lakini pia mbona sijaona element ya mtu kujiuza kwenye bandiko lako???

Si kila mwanamke anajiuza wengine wanapata hamu ya samaki tu baada ya kuchoshwaa Na matembele.
 
Tatizo kubwa ni pale ambapo wewe umeamua kwa dhati kabisa kuiheshimi ndoa na mwenza wako, lakini yeye ameamua kujirahisisha na kuidhalilisha familia. Mwisho anakuletea maradhi na kukusababishia anguko kubwa.
 
Yaap
wake za watu ndiyo wakwanza kujiuza hapa Dar lkn huwa wanajiuza kiaina sana
Hadi uwe MNDEWA wa Dar ndiyo utajua kama wanajiuza
Kama umetoka MKOA huwezi wajua

Kwa kweli mkuu kuna mambo mpaka ushuhudie ndo uamini. I do now believe! Kea hali hii habaki mtu!
 
......... jamaa kamtuma muhudumu amwite alafu wakasogea pembeni kidogo kujadiliana wewe hukumuona hadi kwenye gari??? Lakini pia mbona sijaona element ya mtu kujiuza kwenye bandiko lako???

Si kila mwanamke anajiuza wengine wanapata hamu ya samaki tu baada ya kuchoshwaa Na matembele.

Eti hamu ya samaki!
 
Hakuna mwanamke asiyejiuza isipokuwa kila mmoja na style yke...
Sawa na msemo usemao hakuna mwanamume mwaminifu...
Binafsi ninaamini kuwa wapo waaminifu 100% na wasiowaaminifu 100%... haiwezekan wote wakawa upande mmoja ... hakutakuwa na balance...
Lazma kuwapo na pande mbili tofaut... hivyo sio wanawake na wanaume wote ni wasaliti
 
Mnashangaa nini wakati huo ukahaba Biblia imeubariki na eti hao makahaba ndiyo wa mwanzo kwenda katika ufalme wa Mungu aka mbinguni aka peponi.

Sasa niambieni mkristo yupi asiyetaka kutangulia kwenda kwenye ufalme wa Mungu, mbinguni?
 
Mnashangaa nini wakati huo ukahaba Biblia imeubariki na eti hao makahaba ndiyo wa mwanzo kwenda mbinguni aka peponi.

Sasa niambieni mkristo yupi asiyetaka kwenda mbingu?

Naomba uweke hiyo aya nasi tupate huo ufahamu mkuu.
 
Mnashangaa nini wakati huo ukahaba Biblia imeubariki na eti hao makahaba ndiyo wa mwanzo kwenda katika ufalme wa Mungu aka mbinguni aka peponi.

Sasa niambieni mkristo yupi asiyetaka kutangulia kwenda kwenye ufalme wa Mungu, mbinguni?

FaizaFoxy, uliyoandika hapa ni kama una uhakika huyo kahaba alikuwa Mkristo. Kwa maana nyingine, makahaba wote ni Wakristo!.
 
jamaa yake kununua changudoa mke wa mtu ni sawa eti! yeye sio tabia mbaya,

Je huyo jiran mwenye mke sio kula kulala kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom