Kumbe wahindi walioteshwa kabla ya "babu" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe wahindi walioteshwa kabla ya "babu"

Discussion in 'JF Doctor' started by Mohammed Shossi, Mar 31, 2011.

 1. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #1
  Mar 31, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Nimekumbuka maneno ya busara ya kiingereza yanayosema "time will tell" kumbe huu mti anaoutumia "babu" kama kuoteshwa basi wahindi watakuwa walioteshwa kabla ya babu kwa habari zaidi gonga hii link. http://www.ijcpr.org/Vol2Issue3/211.pdf

  Na Kenya nao hawapo nyuma.........

  Magic herb' is well known to Kenyan scientists
  The ‘magic herb' that has made thousands of people flock to remote Loliondo village in Tanzania was identified by Kenyan scientists four years ago as a cure for a drug-resistant strain of a sexually transmitted disease.
  An expert on herbal medicine also said yesterday the herb is one of the most common traditional cures for many diseases. It is known as mtanda-**** in Kiswahili and it has been used for the treatment of gonorrhoea among the Maasai, Samburu and Kikuyu.
  The Kamba refer to it as mukawa or mutote and use it for chest pains, while the Nandi boil the leaves and bark to treat breast cancer, headache and chest pains.
  Four years ago, local researchers turned to the plant for the treatment of a virus that causes herpes. Led by Dr Festus M Tolo of the Kenya Medical Research Institute (Kemri), the team from the University of Nairobi and the National Museums of Kenya found the herb could provide alternative remedy for herpes infections.
  "An extract preparation from the roots of Carissa edulis, a medicinal plant locally growing in Kenya, has exhibited remarkable anti-herpes virus activity for both wild type and drug resistant strains," they reported in the Journal of Ethnopharmacolo gy.
  No negative effects
  "The mortality rate for mice treated with extract was also significantly reduced by between 70 and 90 per cent as compared with the infected untreated mice that exhibited 100 per cent mortality."
  The researchers reported that the extract did not have any negative effects on the mice.
  Mrs Grace Ngugi, head of economic ethnobotany at the National Museums of Kenya, said the plant was not poisonous as feared earlier.
  Further studies have shown the plant to contain ingredients that make it a good diuretic. Diuretics are drugs used to increase the frequency of urination to remove excess fluid in the body, a condition that comes with medical conditions such as congestive heart failure, liver and kidney disease.
  Some diuretics are also used for the treatment of high blood pressure. These drugs act on the kidneys to increase urine output, reducing the amount of fluid in the blood, which in turn lowers blood pressure.
  A study at the Addis Ababa University in Ethiopia found the herb was a powerful diuretic. It is found in many parts of the country and is used to treat headache, rheumatism, gonorrhoea, syphilis and rabies, among other diseases.
  The Ethiopians tested its potency on mice and found it increased the frequency of urination. This was more so when an extract from the bark of the root was used.
  "These findings support the traditional use of Carissa spp. as a diuretic agent," write the researchers in the Journal of Alternative Medicine.
  The Kemri study also isolated other compounds from the herb, including oleuropein, an immune booster, and lupeol. Lupeol, according to researchers from the University of Wisconsin, US, was found to act against cancerous cells in mice.
  "We showed that lupeol possesses antitumor-promoting effects in a mouse and should be evaluated further," wrote Dr Mohammad Saleem , a dermatologist.
  Mrs Ngugi said the herb was one of the most prevalent traditional cures and herbalists harvest roots, barks and even the fruits to make concoctions for many diseases.
  "Among the Mbeere and Tharaka people where the fruit is called ngawa, the plant is used for the treatment of malaria. The fruits, when ripe, are eaten by both children and adults," she said.
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,266
  Trophy Points: 280
  Same old haters. msubili miss Judith mshirikiane kwenye hii thread, mimi ngoja niangalie thread za maana.
   
 3. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  huu mti kwa taarifa yako ulishafanyiwa research muhimbili na side effects zake ziko wazi. it kills all virus tatizo unaua hata white cells, wanacho/walichokuwa wanafanya muhimbili researchers ni kutafuta nyingine ya kunywa along with it ill kustimulate more white cells production.

  hiyo ya kuwasifu wahindi is your mental slavery
   
 4. RR

  RR JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Mkuu sijaelewa lengo lako....
  Kwamba:
  1. babu wa loliondo ni mwizi wa teknolojia?
  2. au babu wa loliondo hatibu chochote?
  3. au babu ni shetani?
  Hebu elewesha mimi msingi w hoja yako....
   
 5. n

  nyuki dume JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tumechoka na maneno yetu
   
 6. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu, we endelea tu na mbio zako za kuwatumikia wahindi.

  Wakati mwingine mtu unapost kitu kinachokudhalilisha bila kujua, ili mradi tu unataka uonekane umepost.
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,266
  Trophy Points: 280
  Naomba Moderators hii thread iunganishwe kule kwenye Thread ya Miss Judith ili wakutane huko kuendeleza mipasho, naomba muitendee haki kwa kuiunganisha hii thread, na i dought huenda Miss Judith na Mohamed Shossi ni mtu mmoja. u can connect the dots mtaligunduwa hilo haraka.
   
 8. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wala hakuna sababu ya kuziunganisha, hapa inatakiwa mods waziondoe tu wazipeleke kwenye dust bin.

  Hakuna jambo jipya wanalotaka lijadiliwe hapa zaidi ya kuendeleza chuki na utumwa wao wa mawazo kwa hao wanaowatuma.
   
 9. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #9
  Mar 31, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Ikiwa mnafahamu side effect za huo mti mbona hamuwaambii ndugu zetu wanaoenda kujiangamiza Loliondo? mbona Serikali imekaa kimya kwa muda mrefu maelfu ya watu wakienda kunywa dawa ya mmea ambao Muhimbili ilishawahi kuufanyia utafiti?

  Bora kuwa slavery kuliko kukaa kimya ndungu zangu wakawa wanateketea kama kuku wa kideri.
   
 10. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #10
  Mar 31, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Aisee na wewe ni mshabiki wa hii kitu anyway kuna kastori ka wajinga nitakuletea baadae kana link vizuri na hii habari ya babu..................
   
 11. M

  Mwera JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wajinga ndio waliwao, kkkt wanaingiza hela kiulaiiiiini kabisa.
   
 12. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  mkuu mbona akitajwa babu.. unakuwa kama umeguswa vilivyo.. hehe!
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,266
  Trophy Points: 280
  Kama hivyo ndio vigenzo vya wajinga, basi wewe ni mjinga zaidi, maana wewe unashinda hapa JF unaspend pesa yako kununuwa internet bundle na hauingizi hata mia lakini wenzako wamiliki wa hii forum wanaingiza pesa, je wewe ni miongoni mwa wajinga?
   
 14. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #14
  Mar 31, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  1. Sio mwizi wa technologia wala wa idea kwasababu miti yote unayoiona inatibu na watu wapo huru kujaribu kuitumia so as "babu"
  2.Sijasema babu hatibu ila kumhusisha Mungu kwenye tiba yake kuna utata na hapa ni kuwa angesema yeye anatibu ila kwa nguvu za Mungu mgonjwa atapona yaani anamtegemea Mungu na sio kusema huwa wanapiga story kwenye usingizi na Mungu!
  3.Ya tatu sijui kwakweli mtu anaeweza kuwa na moyo wa kuthubutu kusema anaongea na Mungu ni malaika au ni shetani ikiwa ni Binaadamu mmoja tu ndie aliepata kuongea na Mungu nae ni Nabii Musa Yesu na wengine Mungu alikuwa anamtumia roho mtakatifu/malaika gabriel kufikisha ujumbe hapa sijajua Yesu na Babu wa Loliondo nani zaidi akili yangu inakataa kukubali kuwa babu ni zaidi ya Yesu. Kwani hata Yesu amepata kunena
  "[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]Naye Baba aliyenituma hunishuhudia. Ninyi hamjapata kamwe kusikia sauti yake, wala kuuona uso wake Yohana 5:37" Au Yesu katuingiza Chaka Babu ndio anajua zaidi?
  [/FONT]
   
 15. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #15
  Mar 31, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Kuna watu humu JF wana maslahi na babu mmoja alidiklea akasema anatoa huduma ya usafiri wa kati ya Arusha kwenda kwa babu nahisi hao wanaopiga chepuo na wao wanafaidika na huduma ya "babu"
   
 16. M

  Marytina JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  craaaaaaaaaaaaap
   
 17. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #17
  Mar 31, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,266
  Trophy Points: 280
  Na mpo hapa JF ambao babu ameharibu maslahi yenu, kuanzia wale waliokuwa wanaishi kwa kutegemea sadaka za waumini hadi nyinyi mnaotibu kisunna, sasa hivi biashara imewadodea, na bado mpaka mtahama mjini kudadadeki.
   
 18. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #18
  Mar 31, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wa Tz tuwe waangalifu sana. Kwanza tu wageni sana katika ulimwengu wa kikabaila na lile linaloitwa soko huru- tumelelewa wajamaa kwa miongo mingi. Kuna watu ambao wanaamini watu weusi au hata wa Tz hawezi kuja na kitu kizuri. Na wakija nacho basi watakipiga mawe ili ukate tamaa wao wachukue kama ni aidia yao (idea). Kanuni ileile ya kumuuliza mtu ni saa ngapi lakini unataka asikuambie ni saa ngapi bali akupe saa uishike halafu awe anakuuliza wewe na uwe unamwambia majira. Saa ni yake umeipola kijanja na sasa akitaka kujua majira akuulize.

  Kama hao wote tiba anayotoa babu waliijua - ili iweje sasa (so what?????). Wa Tz Mungu kawapa Tanzanite mumewaachia watu wasio na mgodi hata mmoja wanadai Tanzanite inatoka kwao!!!

  Huu wote ni uchungu wa kutohusishwa katika hiyo tiba. Hao wa Kenya hawakuwa na ujasiri wa kufanya wao bila kuwahusisha ngozi nyeupe. Mwacheni mtu wa watu aendelee kutoa huduma.
   
 19. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #19
  Mar 31, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kama ni kweli ,it will the shame to religious leaders who oppose and others support.
   
 20. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #20
  Mar 31, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Muacheni Babu aendelee kutibu. Wanasayansi wameufanyia utafiti mti huo wa dawa kwa miaka zaidi ya 30 lakini bado hawataki kutoa matokeo! Sababu yao kubwa ni urasimu wa kutaka hati miliki, kujifanya wametumia mabilioni katika tafiti hizo ili dawa zao ziwe bei juu. Babu kaoteshwa na kuanza kutoa tiba haraka. Matokeo yake watu wanaanza mikwara! Babu aendelee, hiyo ni timing!
   
Loading...