duh!!!...kumbe hata kwetu wapoo
Hehehe! Kumbe mkweo ndio bingwa wa kuchunae? Sasa twampitia wifi au kila mtu apite njia yake tukutane kule mahali?Aisee mi nilimuona kijana mmoja anakula sikuamini! Kijana wa maana Husninyo akimuona anaweza fikiri anafaa kuchunwa, hovyooo kabisa!