ERIK, Njoo tupunguziane upweke
33 unasubiri nini, mimi napanga nikifika umri huo niwe na mke na mtot mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa mkuu uko nchi gani huko kazi muda wote, karibu Tz hata usiku mwingi utapata dem, pia jitahidi kupitia mitandao ya kijamii huwezi kosa, usiwe sirious sana hata kazini kwako utapata, mkuu una fail wapi lakini
Sent using Jamii Forums mobile app
wakati unapanga Mungu alipanga.33 unasubiri nini, mimi napanga nikifika umri huo niwe na mke na mtot mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo wengi sana mkuu;ukitaka wa mjini,wa kijijini,warefu,wafupi,wanene,wembamba,wazungu,wajuaji,wabishi n.k ni wewe tuNi mpaka pia upate huyo wa kumuoaa
hakuna kazi yeyote utashindwa kuonana na wanawake. wanawake unapata katika mazingira hayo hayo uliyonayoJamani Mnaweza kuhisi natania hapa ila kwa kweli upweke umenizidi, bora hata ningekuwa na ka sress kidogo ila sio huu upweke....
Wadada naombeni kampan zenu nimechokaa, Hizi ratiba za kazi nazo nadhan zinanibana kidogo nakosa time ya kukutana na nyie sehemu!
Nadhani na mazingira nayoishi pia ndyo maana naona JF itanisaidia saana
NB: age yangu ni 33yrs
hakuna kazi yeyote utashindwa kuonana na wanawake. wanawake unapata katika mazingira hayo hayo uliyonayo
Kwa kuanza,fanya tour kwenye chuo chochote unachokifahamuNaomba connection
Unataka Wenye sifa za ChuraNipo Tanzania, wanawake wapo wengi saana tatizo sio wote wana sifa sahihi