Kumbe ukifumaniwa hali inaweza kuwa kama hivi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe ukifumaniwa hali inaweza kuwa kama hivi!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Deodat, Oct 7, 2010.

 1. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,274
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Ni kama anasema "Kaka tuyamalize tu ki-diplomasia bila ya huo upanga"
   

  Attached Files:

 2. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145


  Mkuu fumanizi lina raha yake hasa kama mfumaniwa ana mbio.Huyo jamaa sijui alizubaa nini mpaka akawekwa kwenye kona hivyo aje kwangu nimfundishe the reaction of a cornered black cat.
   
 3. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,561
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  huyu mwenye panga amekaa kama mkurya hivi.wale jamaa nawaheshimu sana.hakika tungekua na mikoa 8 tu kama Mara leo hii mkwere na Shimbo wasingekua hapa.msisahau na pumbafu Benson Bana
   
 4. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,902
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Huu ulikuwa mchezo wa kuigiza? kwani mwanamke haoneshi wasiwasi kabisaa,manake movie za kibongo hazina uhalisia kabisa.
   
 5. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,274
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  HA HA HA HA! Umenichekesha sana!
   
 6. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,274
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana na wewe, hao watu wanahitaji kuchapwa na mapanga kabisa!
   
 7. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,274
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Ze Kanumbas type...ha ha ha!
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,314
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Wanaonekana hawako serious, huyu dada kama anatabasamu vile au wamekula deal yeye na mumewe ili wamchomoe pesa huyu bwana?
   
 9. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Huyo paka mweusi kanimaliza mbavu zangu! I real like this section of the forum
   
 10. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2010
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,341
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Kuna wakati alikuwa ofisa mmoja alifumaniwa na mke wa mtu akatakiwa mke ampe kanga yule jamaa aliyefumaniwa nae azivae kilichofatia aliyefumaniwa akageuzwa kuwa mke huku yule mke akambiwa amungalie jamaa anavyofanyiwa na Mumeme alimgeuza kuwa mke kwa wakati ule baada ya kumaliza jamaa aliamrishwa aondoke na yule mke akapewa talala.
   
 11. Muadilifu

  Muadilifu Senior Member

  #11
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 150
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Haya maneno hayaashirii amani hata kidogo.
   
 12. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,274
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Toba! afadhali ukatwe panga lakini sio hiyo adhabu!
   
 13. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,274
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Bongo mbona amani ilipotea siku nyingi, hatuna amani bali kuna utulivu tu ambao pia unaelekea kikomo.
   
 14. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,274
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Hoja yako ina-make sense, kuna kipindi huo mchezo ulikuwa unafanyika sana hasa maeneo ya buguruni.
   
 15. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mke wa mtu ni hatari jamani!.....USIKIE REDIONI TU!
   
 16. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2010
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,440
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 160
  huyo mwenye panga kafanana na raila .
   
 17. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2010
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,220
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ah! hii imetengenezwatu! ke mtu mbona hata haneshi hofu?? ndo kwanza anasmile.
   
 18. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,561
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  raha ya kufumaniwa uwe na mbio bana wee ni raha tupu
   
 19. d

  dotto JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,714
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  ....mke wa mtu sumu.....
   
 20. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #20
  Oct 11, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145  Hapo hujakosea kabisa mkuu ishu hiyo ikikukuta dawa ni KUTOKA MKUKU TU hata kama unapita kwenye matuta unaacha umetifua kuwa tambarare.
   
Loading...