Naona mabikra 72 hapo na mito ya mvinyo tamu unafyonzaView attachment 3311037
Kweli kabisa mkuu cheki vyenye nakula Bata.
hahaha 😂Naona mabikra 72 hapo na mito ya mvinyo tamu unafyonza
ilikuwa ni research accident by USAUgonjwa wa Corona ndio kiama chenyewe,wewe uliye hai ujue uko peponi sasa