depends on the sense u usenon sense
depends on the sense u usenon sense
Ghadhabu za kutubu hizi.!
waache waendelee kumfuatilia ili wapewe za uso vizuri. hawamjui nafikiri. the more they play with him the more they disclose their weaknesses
Acha wapate kazi za kufanya wawe busy, sio tu kukaa na kusoma magazeti ofisini halafu mwisho wa mwezi walipwe kwa kodi zetu.
Haijalishi kuwa Kakobe ana kosa au la, point hapa ni kuwa, kwanini mnazubaa mpaka mtu ajigambe ndio muanze kumchunguza?! Ina maana kama alikuwa anafanya ubadhirifu kimya kimya bila kujigamba msingeshughulika naye?! Utendaji gani huu?!Ndugu zangu, Serikali huwa ina shirika na mtu anayeisaidia. Ukiigiza kwa sifa za makofi na vigelgele, matokeo yake ni hayo. Naweza tabiri kwamba watampata maana heshima wanayopewa viongozi hawa na dini huitumia visivyo, na huenda wana hakika nini kimekuwa kikifanyika ndani ya akaunti zake maana wwanazifahamu zote kwa majina.
Kwa kanisa lake, hata siyo dhehebu, unawezaje kujivunia utajili wa pesa, halafu ukiona umebambwa unajidai ni utajili wa kiroho? Roho ndiyo pesa? Biblia anayoijua imesema pesa?
Wewe unaona sawa TRA kuogopwa?Si alikuwa anatafuta sifa mbele ya waumini wake ndio atambue serikali haitaniwi ..eti nilikuwa namaanisha utajiri wa imani wakati alisikika akisema nina pesa kuliko....
Wewe nani mpaka uwe na pesa kuliko serikali ,Dangote na pesa ,utajiri wote hajawahi kuidharau serikali yake
Ndio atakoma na heshima itakuwepo ..
bora ukutane na FFU na sio hawa TRA huku kwetu wenye maduka wakiwaona Maofisa wa TRA wote huambizana kufunga maduka
Uchunguzi ili ufanyike lazima zipatikane taarifa. Huwezi kuanza kumchunguza mtu bila sababu za msingi. Kazi nyingine ziitafanyika saa ngapi. Hata polisi wakipokea taaarifa za uhalifu ndo wanaanza kuzichunguza. Kama hana hatia, hana sababu ya kuogopa, akionekana mlipa kodi muadilifu ataachwa. Kwani wewe hutaki kujua ukweli juu ya utajiri wake na kama analipa kodi kikamilifu??Haijalishi kuwa Kakobe ana kosa au la, point hapa ni kuwa, kwanini mnazubaa mpaka mtu ajigambe ndio muanze kumchunguza?! Ina maana kama alikuwa anafanya ubadhirifu kimya kimya bila kujigamba msingeshughulika naye?! Utendaji gani huu?!
Utawala uliofitinika, tuchokozeni tu Wakristo!Kuna taarifa kuwa jamaa wanatafuta taarifa za kifedha za Mch. Zakary Kakobe.
Nadhani serikali na TRA wangejikita kwenye issues za maana wakaacha visa na mikasa.
Kwahiyo kumbe nikifanya mambo yangu kimya kimya pila kupayuka nitaendelea kuponda raha zangu! Kweli intelijisia yetu bado sana. Kwa mtaji huu hatuko salama. Kumbe mpaka mtu upayuke ndio wapate pa kuanzia! Zipo nchi hata ungekaa kimya, kama vitu vyako havijanyooka watakushtukia tu na kukufuatilia.Uchunguzi ili ufanyike lazima zipatikane taarifa. Huwezi kuanza kumchunguza mtu bila sababu za msingi. Kazi nyingine ziitafanyika saa ngapi. Hata polisi wakipokea taaarifa za uhalifu ndo wanaanza kuzichunguza. Kama hana hatia, hana sababu ya kuogopa, akionekana mlipa kodi muadilifu ataachwa. Kwani wewe hutaki kujua ukweli juu ya utajiri wake na kama analipa kodi kikamilifu??
Ukwepaji kodi bado ni mkubwa sana Tanzania...hiyo sio siri. Hatujafika huko kwa wenzetu ila tutafika tu. Ndo maana bado wanatakiwa raia wema watoe taarifa za ukwepaji kodi kwa TRA. Huyu kakobe kama ni mkwepa kodi kajikaanga mwenyewe.Kwahiyo kumbe nikifanya mambo yangu kimya kimya pila kupayuka nitaendelea kuponda raha zangu! Kweli intelijisia yetu bado sana. Kwa mtaji huu hatuko salama. Kumbe mpaka mtu upayuke ndio wapate pa kuanzia! Zipo nchi hata ungekaa kimya, kama vitu vyako havijanyooka watakushtukia tu na kukufuatilia.
Kwa maoni yako, unaamini kila mtu anatakiwa kuwa kwenye uchunguzi siku zote? Lazima iwepo sababu. Ukianguka na gari tukaona pembe za ndovu na tukaanza kukuchunguza, unawezaje kuuliza eti mpaka nianguke na gari.Haijalishi kuwa Kakobe ana kosa au la, point hapa ni kuwa, kwanini mnazubaa mpaka mtu ajigambe ndio muanze kumchunguza?! Ina maana kama alikuwa anafanya ubadhirifu kimya kimya bila kujigamba msingeshughulika naye?! Utendaji gani huu?!
Akina nani my dada? Ukiweza weka picha zaoWale wenye hirizi roho ziko juu juu
Taasisi za dini zimepewa 'upendeleo' wa kujifanyia mambo yake bila kufutiliwa na serikali kwa kuwa tu zinashughulika na masuala ya imani za dini. Inapotokea viongozi wake wanatumia 'upendeleo' huo vibaya kama vile kujihusisha na mambo ya siasa ndipo serikali anapoamua kutimiza wajibu wake ipasavyo kwa kuondoa ule 'upendeleo' waliopewa. Askofu Kakobe hana mamlaka ya kumtaka Rais wa nchi atubu ili hali siyo muumini wake na pia suala la toba hiari ya mtu bila kushurutishwa na yeyote hata awe kiongozi wa dini.Ina maana toka Jan 2014 hadi Dec 2017 walikuwa hawafanyi kazi??!!
Atakoma safari hii alidhani serikali ya JPM ni kama ya yule mkwere wa Chalinze!Wameona ndio njia pekee ya kukabiliana na Kakobe, wameoshiwa hoja kabisa na wakikuta hana shida kwenye kodi watamvamia na kusema anauza madawa.
Time will tell what? How & why?
Anza wewe kwanzaTahira A-
Anza wewe kwanza[HASHTAG]#Pombe[/HASHTAG] akatubu
Aibu kama ya accacia? Fafanua...Baada ya hapo watampima mkojo,sjui sosonje kala maharage ya chato!!!!!!!yatakuwa aibu kama ya accacia na 700b