Tetesi: Kumbe TRA bado wanamfuatilia Askofu Kakobe

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,868
87,087
Kuna taarifa kuwa jamaa wanatafuta taarifa za kifedha za Mch. Zakary Kakobe.

Nadhani serikali na TRA wangejikita kwenye issues za maana wakaacha visa na mikasa.

img-20180104-wa0009-jpg.668434
 
Si alikuwa anatafuta sifa mbele ya waumini wake ndio atambue serikali haitaniwi ..eti nilikuwa namaanisha utajiri wa imani wakati alisikika akisema nina pesa kuliko....

Wewe nani mpaka uwe na pesa kuliko serikali ,Dangote na pesa ,utajiri wote hajawahi kuidharau serikali yake

Ndio atakoma na heshima itakuwepo ..
bora ukutane na FFU na sio hawa TRA huku kwetu wenye maduka wakiwaona Maofisa wa TRA wote huambizana kufunga maduka
 
Kuna taarifa kuwa jamaa wanatafuta taarifa za kifedha za Mch. Zakary Kakobe.

Nadhani serikali na TRA wangejikita kwenye issues za maana wakaacha visa na mikasa.

Mods, naomba msiutoe huu uzi!! Ni taarifa sahihi kabisa
waache waendelee kumfuatilia ili wapewe za uso vizuri. hawamjui nafikiri. the more they play with him the more they disclose their weaknesses
 
Si alikuwa anatafuta sifa mbele ya waumini wake ndio atambue serikali haitaniwi ..eti nilikuwa namaanisha utajiri wa imani wakati akisikika akisema nina pesa kuliko....

Wewe nani mpaka uwe na pesa kuliko serikali ,Dangote na pesa ,utajiri wote hajawahi kuidharau serikali yake

Ndio atakoma ..TRA bora ukutane na FFU
Acha woga wa kike wewe mwanaume wa dar nini?
 
Kuna taarifa kuwa jamaa wanatafuta taarifa za kifedha za Mch. Zakary Kakobe.

Nadhani serikali na TRA wangejikita kwenye issues za maana wakaacha visa na mikasa.

Mods, naomba msiutoe huu uzi!! Ni taarifa sahihi kabisa
Witch hunting
 
Si alikuwa anatafuta sifa mbele ya waumini wake ndio atambue serikali haitaniwi ..eti nilikuwa namaanisha utajiri wa imani wakati alisikika akisema nina pesa kuliko....

Wewe nani mpaka uwe na pesa kuliko serikali ,Dangote na pesa ,utajiri wote hajawahi kuidharau serikali yake

Ndio atakoma na heshima itakuwepo ..
bora ukutane na FFU na sio hawa TRA huku kwetu wenye maduka wakiwaona Maofisa wa TRA wote huambizana kufunga maduka
Hiyo ndiyo shida ya akili yakimaskini
 
Back
Top Bottom