Kumbe Tanzania tunasifika

Kumbe Tanzania tunasifika

Ninasikia kuna ile ya kunawa mara baada ya tendo. Unanawia kwenye baseni humo kuna shahawa zake na maji ya uke. Mzee wa busara anavitia kwenye chupa. Unaichimbia unapopikia.

Sasa kwa haya majiko ya orynxi sijui formular inakuwaje
 
Kuna mmoja alipewa mayai ya ndege aliambiwa yasionwe na mtu awe atupa yai moja kila siku kwa siku saba. Amefika nyumbani tu mama mkwe amempokea begi. Lilimzidi uzito likaanguka mayai saba yalipasuka. Dada alilia sana baada ya safari ya ndege ili mzigo ufike salama
 
Hahahaha
Kwa mtogole huko ?
 
Nilikaa na wanawake wa ki-Nigeria tukawa tunapiga stori. Nikiwaambia nyinyi soko la filamu Afrika mmelimudu lakini sinema zenu hazina jipya zaidi ya mapenzi na uchawi. Na inaelekea mnaamini sana uchawi.

Walinijibu kuwa uchawi hasa wa maswala ya mapenzi wao kwao wenye pesa wanaelekezwa Tanzania sehemu za Mtwara, Mozambique na Malawi.

Wameniambia limbwata la sehemu hizo linachukua miaka 800 ku expire. Kwa maana nyingine ni mpaka kifo kiwatenganishe.

Ndugu zangu na sisi tumo kwenye Africa map katika maswala ya limbwata. Msife moyo kuna siku tutakuwa kwenye sector ya science and technology kama watoto wanaopatikana kwenye limbwata watafanya vizuri shuleni.
Huo unabii naukemea kwa jina la Yesu
 
Dahhh kweli maisha hayana formula! Wanigeria wanajulikani kwa upigaji duniani kote, halafu wao wanakuja kupigwa huku 'Ntwara'!!
Kila mtu na 'kibonde' wake, sio yule Ephraim wa CMG.

Unakuta jamaa home anachapwa na mkewe lakini job akiingia tu watu wanatetemeka bosi mkali kaingia.
 
Kila mtu na 'kibonde' wake, sio yule Ephraim wa CMG.

Unakuta jamaa home anachapwa na mkewe lakini job akiingia tu watu wanatetemeka bosi mkali kaingia.
😀 😀 😀 😀 😀 kuna Afisa Tarafa mmoja huku ni mbabe hatari, anaunguruma kama simba! Lakini mkewe nyumbani huwa anaogesha watoto na kuwafulia nguo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom