Parata
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 3,090
- 675
Unajua unaweza ukamaliza sijui udom, udsm naviita vyuo vyenye utitiri wa watu na mie nliosoma saut na kupata degree yangu..kikazi unakuta nna kaz nzur tu na mjinga yoyote atajisifu kasoma sijui ud sijui wapi lakin anaish kwa mawazo,jina la chuo halina mashiko,
nlienda interview na wenzako wa udsm na udom ila mbna wao ndo wameonekana vilaza? Tuwe makini katika hoja lasivyo tutakuwa kama watoto
nlienda interview na wenzako wa udsm na udom ila mbna wao ndo wameonekana vilaza? Tuwe makini katika hoja lasivyo tutakuwa kama watoto