Makamee
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 2,029
- 1,191
Wanajamvi!
Baada ya kutafakari kwa muda na kwa kina kuhusu makabila yote duniani. Nimeamua niwe sina kabila.hii ni kwasababu
1.Mwanadamu wa kwanza (ADAM) Ambae wanadamu wote tumetokana nae alikua hana kabila.
2.Kutokua na kabila kutaniweka huru na kashfa zote zinazoelekezwa kwa makabila ya hapa nchini,kama majivuno,ubishi,wizi,ubahiri n.k
3.Kutokua na kabila kutaniweka huru na tamaduni zote ambazo zimepitwa na wakati kama ukeketaji,nyumbantobo,kuoa ng'ombe 70 n.k
My take- sijaona faida hata 1 ya kabila nipo huru sasa karibu ujiunge nami.