Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Mleta mada jaribu kusimama sehemu moja kutetea hoja zako, kama utatumia vitabu vya Mungu ijulikane Kama unajenga hoja Kwa wewe mwenyewe ijulikane!
Nilitaka Kusema machache; maendeleo siku zote huja na athari nyingi sana! Utaanza Leo kukataa Kabila na kesho utaishia kumtambua baba na mama tu katika familia yako na Hao wazaliwa wenzako Kwa wazazi wako! Na kesho utasema wewe ni mtanzania na si mwaafrica!
Haya mambo yako Kwa wenzetu huko! Mtu anajijua yeye tu km ni mjerumani ni mjerumani tu anashika kiasili chake Hicho tu! Hawezi sema yeye ni muulaya ata siku moja!
Haya maendeleo yana athari kubwa sana, na itafikia hatua maadili watu yataporomoka sana! Upendo kupingua, heshima, mavazi ya kutokujisitiri n.k
Umuhimu Wa asili Ni kutuweka pamoja na kutunza maadili!