Kumbe sina kabila

Makamee

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
2,029
1,191
Wanajamvi!
Baada ya kutafakari kwa muda na kwa kina kuhusu makabila yote duniani. Nimeamua niwe sina kabila.hii ni kwasababu
1.Mwanadamu wa kwanza (ADAM) Ambae wanadamu wote tumetokana nae alikua hana kabila.

2.Kutokua na kabila kutaniweka huru na kashfa zote zinazoelekezwa kwa makabila ya hapa nchini,kama majivuno,ubishi,wizi,ubahiri n.k
3.Kutokua na kabila kutaniweka huru na tamaduni zote ambazo zimepitwa na wakati kama ukeketaji,nyumbantobo,kuoa ng'ombe 70 n.k
My take- sijaona faida hata 1 ya kabila nipo huru sasa karibu ujiunge nami.
 
Nimeshachoka kila siku kushutumiana tu mara ooh wazaramo wanamdomo,mara ooh wahaya sijui nini,mara ooh wabena wachawi.
sitaki kabila mimi
 
Wakuu huo ni msimamo wangu! Na watoto wangu nao wanaungana nami kimsimamo.
 
Wacha kujidanganya na kujishebedua weye. Huko ni kuukana uasili wako...huwezi kwenda mbele bila kuangalia utokako. Huo ni upofu wa akili na ufinyu wa mawazo na zaidi niulimbukeni ulio peya.
 
Weka hoja mkuu! Kwani kabila ndo asili ya mtu?
 
kabila unalo sana ila kwasababu u mtumwa na umetekwa mpaka kiitikadi. kimawazo. kisiasa na kidini ndio unaona huna kabila kwani hujiamini na unahofia kuji identify na ndugu zako. mwehhh we. au mshenzi wataka kusaha mashenzini kwenu.
 
Bado hoja zako hazina mashiko! Leta hoja
1.Kipi kimekufanya uwe na kabila?
2.Nini faida unayopata ya kabila uliopo?
3.Weka wazi hasara za mtu atakazozipata pindi akiwa hana kabila?
 
Wacha kujidanganya na kujishebedua weye. Huko ni kuukana uasili wako...huwezi kwenda mbele bila kuangalia utokako. Huo ni upofu wa akili na ufinyu wa mawazo na zaidi niulimbukeni ulio peya.

Mkuu unacho sena unakosea .....just imagine baba yangu ni wa mji kasoro bahari mama yangu wa iringa mi sijui kuongea kilugha chochote sasa mi nina asili gani ....fine nitasema mi wa moro hatakuongea sijui zaidi ya kiswahili ........just imagine my kids wataongea language gani kama siyo swahili ........sasa utaniambia mimi limbukeni kivipi......jamaa anapoint sema wewe unadhani au unaona ni siasa na hilo ndi tatizo letu......lets change
 
Mbele Yako Kasimama Mtwa Mkulu, Muhehe!! Kiongozi Wa Wahehe Wote Wanao Ishi Chini Ya Jua! Kamwene!
 
Mkuu unacho sena unakosea .....just imagine baba yangu ni wa mji kasoro bahari mama yangu wa iringa mi sijui kuongea kilugha chochote sasa mi nina asili gani ....fine nitasema mi wa moro hatakuongea sijui zaidi ya kiswahili ........just imagine my kids wataongea language gani kama siyo swahili ........sasa utaniambia mimi limbukeni kivipi......jamaa anapoint sema wewe unadhani au unaona ni siasa na hilo ndi tatizo letu......lets change
Uko sawa master! Karibu ktk utawala mpya kabila ni kusumbuana tu.
 
Wanajamvi!
Baada ya kutafakari kwa muda na kwa kina kuhusu makabila yote duniani. Nimeamua niwe sina kabila.hii ni kwasababu
1.Mwanadamu wa kwanza (ADAM) Ambae wanadamu wote tumetokana nae alikua hana kabila.

2.Kutokua na kabila kutaniweka huru na kashfa zote zinazoelekezwa kwa makabila ya hapa nchini,kama majivuno,ubishi,wizi,ubahiri n.k
3.Kutokua na kabila kutaniweka huru na tamaduni zote ambazo zimepitwa na wakati kama ukeketaji,nyumbantobo,kuoa ng'ombe 70 n.k
My take- sijaona faida hata 1 ya kabila nipo huru sasa karibu ujiunge nami.
Wewe ni kabila gani?
 
Waha (wa Kigoma) kwa kukataa asili zenu! sijui ndo kusema ..... KWANZA WEKA PICHA NDO TUCHANGIE!
 
Back
Top Bottom