MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,710
- 1,657
Rwanda ni kama mkoa wa Dodoma!
sasa utalinganisha Dodoma na nchi nzima ya Tanzania?
sasa utalinganisha Dodoma na nchi nzima ya Tanzania?
Unajua kuna watu humu huwa wanafuata upepo tu,nilishawaambia Rwanda hakuna kitu zaidi ya kupamba kwenye magazeti,ikiwa daktari analipwa 3,000,000/= katika nchi yenye watu 10m unadhani ina madaktari wangapi?
Nchi yetu ni kubwa more than 45m unadhani tunaweza kulipa madaktari kiasi gani na wako wangapi?
Kusifia Rwanda ni upuuzi kabisa,hata ajikakamue vp kagame hawezi kuifikia tz kwa lolote,
Barabara tu zilizopo kwetu ukizitandaza Rwanda basi nchi nzima itakuwa lami hakuna jengo hata 1 ,mbona wanyarwanda wenyewe bado Maskini tu? Nenda vijijini katazame na mitaa ya uswahilini ndio utajua maisha halisi ya.watu sio kusoma magazetini tu