Kumbe Rwanda Bureeeeee!

Kumbe Rwanda Bureeeeee!

Kijakazi, uzalendo ni pamoja na kuwa na mawazo mbadala!! usije dhani mtu akiwaza juu ya modus operandi ya kukutoa pointi A kwenda B, kwa njia tofauti na unayoizungumzia wewe kuwa anaipinga safari ya kutoka pointi A kwenda B..what makes the difference is the modus operandi! Ila wote mnaweza mkawa wazalendo!! Tatizo hao wanaolaumiwa hapa wakiambiwa kuna njia mbadala hawataki, na wanakuwa na fear of the unknown!!
 
Mahitaji yao nimeshakwambia hawagoti MW 80, na unaposema Rwanda ni ndogo ujue unaongelea kieneo lkn sio kwa idadi ya watu, ujue wana km za mraba 20,000 yaani serengeti yetu ni kubwa zaidi na wana watu Zaidi ya milioni kumi 10, na sisi tu km za Mraba karibu milioni moja tuna watu milioni 40! sasa watu milioni 10 kwa kutumia MW 80 kwa kiwango chochote kile ni ndogo sana! Wazo Cement hawawezi kuwekeza Rwanda leo hii kwa maana hamna Umeme!

kwa mjibu wa gazeti la TIME,Rwando iko kwenye list ya kati ya nchi kumi with the worst infrastructure.search
 
Kagame kuuwa watu ndicho kinacho msaidia vinginevyo asingekuwepo madarakani.
Hivi mpaka unapoandika thread hii KAGAME keshaua watu wangapi? Do you have figure please to substantiate your allegations??
 
8 January 2013 - Rwanda currently generates some 110 MW of electricity, but the country's government is determined to ensure that this reaches 1,000 MW by 2017. Amongst other things it will help facilitate the target of 70% of the population gaining access to electricity over that period. In 2009 only 7 % of Rwandans had access to electricity and in rural areas where the majority of the country's 10 million people still live this figure was only 1%

I believe in Kagama najua atayafikia hayo malengo...na angekua na dude kama lile la Rufiji au gas, only God knows
 
Hiyo ni hesabu rahisi kujua nani anafanya vizuri, japan wame devalue pesa yao waweze kufanya biashara na Africa that's all! Lakini huwezi kuilinganisha Rwanda nchi iliyopitia GENOCIDE ikasambaratika kwa maana ya kusambaratika, leo walipofikia hapo uzungumzie 80 MEGAWATI kwamba hawako vizuri kiuchumi!! Daktari wa Rwanda analipwa karibu Tsh 3,000,000/- ya Tanzania nyie wa kwenu mnamlipa ngapi? Walijifunza Tanzania mambo ya Health Insurance, leo wako zaidi ya 90% coverage wakati bongo hata 20% hamjafika!! Tanzania tuna all resources ila tatizo hatuna viongozi bali tuna watawala!! Na kama umegundua kila kitu kitu kinachoanzishwa Tanzania kina collapse sijui kama umewahi kujiuliza hilo swali..!! Ndio maana kila mtu akipata upenyo anaiba!! IKULU inaiba, mwananchi wa kawaida anaiba! That is Tanzania, that is bongoland!!

Kwa nini wapitie genocide kama wao Bora? wangekuwa wajannja wasingefika huko! sisi ambao hatujapitia ndio Wajanja, kwani sisi tulishindwa kuanzisha hiyo genocide, kwa nini hatukuanzisha? si kwa sababu ni wajanja zaidi yao na tuna akili zaidi!

Nimekupa mfano wa Japani kwa sababu wewe umetolea kigezo cha exchange rate kama ndio kigezo cha uchumi mzuri wa Rwanda, na Japani moja kati ya mifano michache tu, kabla ya Euro lira ya Italia ilikuwa ndogo kuliko kashilingi ketu!

Kuhusu Japani wewe hauna uelewa kabisa (inavyoonekana) na haya mambo ingawaje unajiita umesomea Uchumi, Japani washushe fedha yao kwa ajili ya tu kufanya biashara na Afrika?
Unajua ni asilimia ngapi ya Biashara kati ya Afrika na Japani?
Kwa taarifa yako tu biashara kati ya Afrika na Dunia achilia mbali Japani ni asilimia Moja tu 1%, kwa maana nyingine unapoongelea Mambo ya kiuchumi wa Dunia Afrika wala haimo kwa maana tunachangia asilimia 1% ya biashara inayofanyika Duniani(kiuchumi), hivyo Japani hawawezi kushusha fedha kwa ajili ya Afrika!

Huyu mtu hajasoma uchumi, mwache! Kama RwF 630 = 1USD, na Tsh 1660= 1USD halafu mtu anasema ni bureeeee!! Hamna kitu hapo usitoke povu utajichosha bure tu!! Ukizungumzia GDP ndio unamvuruga kabisaaa!!

Huwezi kulinganisha Rwanda na Tz. GDP ya Rwanda ni 14.9 billion wakati Tz ni 74 billion USD. Kiuchumi Tz ni ya 80 duniani wakati Rwanda ni ya 141. Jiji pekee Rwanda ni Kigali ambayo ukubwa wake ni kama mji wa Kahama mkoani Shinyanga. Uchumi wa rwanda unakua kwa wastani wa 5.9% wakati Tz ni 6.9%. Mfumo wa uongozi Rwanda ni dictatorship wakati Tz ni Democratic. JK pia ni genius ukilinganisha na Kagame (mtazamo wangu) kwasababu kiongozi bora ni yule anaekubali mawazo ya wengine.
 
8 January 2013 - Rwanda currently generates some 110 MW of electricity, but the country's government is determined to ensure that this reaches 1,000 MW by 2017. Amongst other things it will help facilitate the target of 70% of the population gaining access to electricity over that period. In 2009 only 7 % of Rwandans had access to electricity and in rural areas where the majority of the country's 10 million people still live this figure was only 1%

I believe in Kagama najua atayafikia hayo malengo...na angekua na dude kama lile la Rufiji au gas, only God knows

Neno angekuwa kila Mtu anaweza kulisema hivyo halina maana, kwa sio ukweli!

Pili hilo la mpaka mwaka 2017 hatupaswi kuliongelea kwani hata sisi kwetu tunaweza kusema 2017 tutakuwa na MW 6000, lkn mpaka zije ndio tunaweza kuongela sasa hivi tunaongelea umeme uliopo na sio ambao unakuja!

8 January 2013 - Rwanda currently generates some 110 MW of electricity, but the country’s government is determined to ensure that this reaches 1,000 MW by 2017. Amongst other things it will help facilitate the target of 70% of the population gaining access to electricity over that period. In 2009 only 7 % of Rwandans had access to electricity and in rural areas where the majority of the country’s 10 million people still live this figure was only 1%

I believe in Kagama najua atayafikia hayo malengo...na angekua na dude kama lile la Rufiji au gas, only God knows

Mleta uzi sijui hyo 80 kaitoa wapi jamaa wanapambana sana hata mishahara ni mizuri na kuna watanzania wanafanya kazi huko wanaenjoy package nzur kulko huku,ICT wamepga hatua,hakuna ubabaishashaji kwenye public service people are serious na wafanikiwa kudhibiti Rushwa, malaria na Bima ya Afya kwa wakaz wengi.
 
Nimekuwa nikisia makelele meengi kuhusu hii nchi ya Rwanda kwamba ndio mfano wa kuigwa na blah blah nyingi, nikataka niijue zaidi, kumbe hamna chochote hii nchi ina watu zaidi ya
Milioni 10 na uwezo wao wa kuzalisha Umeme ni Megawatt 80 MW tu!!!! nimepigwa na Butwaaa sasa hizo kelele zote za Bw.Kagame hivi Kagame vile ni za nini?
Maendeleao gani hayo yanayoongelewa huko Rwanda kama watu milioni 10 hawawezi kutumia MW 80 za umeme?
Au labda tafsiri ya maendelo imebadilika? au kufagia barabara hapo Kigali ndio maendeleo, hakika hawa jamaa wanasifiwa bureeee tumewaacha mbali saaana, duh Megawati 80 watu milioni zaidi ya milioni 10!

haujui unachoongea! Umetumwa
 
Rwanda buleeeee! hahahahahahaha............................. ubure wa nchi jirani unakupa moyo, badala ya kuangalia maendeleo yako... nadhani we mtoa mada we ndo bure kabisa!
 
Mahitaji yao nimeshakwambia hawagoti MW 80, na unaposema Rwanda ni ndogo ujue unaongelea kieneo lkn sio kwa idadi ya watu, ujue wana km za mraba 20,000 yaani serengeti yetu ni kubwa zaidi na wana watu Zaidi ya milioni kumi 10, na sisi tu km za Mraba karibu milioni moja tuna watu milioni 40! sasa watu milioni 10 kwa kutumia MW 80 kwa kiwango chochote kile ni ndogo sana! Wazo Cement hawawezi kuwekeza Rwanda leo hii kwa maana hamna Umeme!

kwa mjibu wa gazeti la TIME,Rwando iko kwenye list ya kati ya nchi kumi with the worst infrastructure.search
 
Mleta uzi sijui hyo 80 kaitoa wapi jamaa wanapambana sana hata mishahara ni mizuri na kuna watanzania wanafanya kazi huko wanaenjoy package nzur kulko huku,ICT wamepga hatua,hakuna ubabaishashaji kwenye public service people are serious na wafanikiwa kudhibiti Rushwa, malaria na Bima ya Afya kwa wakaz wengi.

Hizo ni blah blah, kuhusu Watz kufanya Rwanda hilo ni jambo la kawaida hata TZ kuna wageni wengi tu wanapata Mishahara mikubwa kuliko kwao waliko toka, na pia sisi TZ kuna vijana wengi tu wanafanya kazi na wana mishahara mizuri, nawajua vijana wengi tu TZ wanapata zaidi ya milioni 1.5 mshara TZ, nawajua pia Warwanda wengi wanafanya kazi Dar, Kahama, Mwanza, Arusha na hawataki hata kurudi kwao, hivyo hicho sio kigezo!

Maendeleo ya nchi yanapimwa na Miundombinu, kama Barabara, Reli,upatikanaji wa umeme, maji n.k, katika takwimu zote mpaka za Umoja wa mataifa Rwanda ni moja kati ya nchi zenye Miundombinu mibovu kabisa Duniani, sasa hakuna kigezo kingine zaidi ya hicho!

Kwa nini wapitie genocide kama wao Bora? wangekuwa wajannja wasingefika huko! sisi ambao hatujapitia ndio Wajanja, kwani sisi tulishindwa kuanzisha hiyo genocide, kwa nini hatukuanzisha? si kwa sababu ni wajanja zaidi yao na tuna akili zaidi!

Nimekupa mfano wa Japani kwa sababu wewe umetolea kigezo cha exchange rate kama ndio kigezo cha uchumi mzuri wa Rwanda, na Japani moja kati ya mifano michache tu, kabla ya Euro lira ya Italia ilikuwa ndogo kuliko kashilingi ketu!

Kuhusu Japani wewe hauna uelewa kabisa (inavyoonekana) na haya mambo ingawaje unajiita umesomea Uchumi, Japani washushe fedha yao kwa ajili ya tu kufanya biashara na Afrika?
Unajua ni asilimia ngapi ya Biashara kati ya Afrika na Japani?
Kwa taarifa yako tu biashara kati ya Afrika na Dunia achilia mbali Japani ni asilimia Moja tu 1%, kwa maana nyingine unapoongelea Mambo ya kiuchumi wa Dunia Afrika wala haimo kwa maana tunachangia asilimia 1% ya biashara inayofanyika Duniani(kiuchumi), hivyo Japani hawawezi kushusha fedha kwa ajili ya Afrika!

Unajua kuna watu humu huwa wanafuata upepo tu,nilishawaambia Rwanda hakuna kitu zaidi ya kupamba kwenye magazeti,ikiwa daktari analipwa 3,000,000/= katika nchi yenye watu 10m unadhani ina madaktari wangapi?
Nchi yetu ni kubwa more than 45m unadhani tunaweza kulipa madaktari kiasi gani na wako wangapi?
Kusifia Rwanda ni upuuzi kabisa,hata ajikakamue vp kagame hawezi kuifikia tz kwa lolote,
Barabara tu zilizopo kwetu ukizitandaza Rwanda basi nchi nzima itakuwa lami hakuna jengo hata 1 ,mbona wanyarwanda wenyewe bado Maskini tu? Nenda vijijini katazame na mitaa ya uswahilini ndio utajua maisha halisi ya.watu sio kusoma magazetini tu
 
Nimekuwa nikisia makelele meengi kuhusu hii nchi ya Rwanda kwamba ndio mfano wa kuigwa na blah blah nyingi, nikataka niijue zaidi, kumbe hamna chochote hii nchi ina watu zaidi ya
Milioni 10 na uwezo wao wa kuzalisha Umeme ni Megawatt 80 MW tu!!!! nimepigwa na Butwaaa sasa hizo kelele zote za Bw.Kagame hivi Kagame vile ni za nini?
Maendeleao gani hayo yanayoongelewa huko Rwanda kama watu milioni 10 hawawezi kutumia MW 80 za umeme?
Au labda tafsiri ya maendelo imebadilika? au kufagia barabara hapo Kigali ndio maendeleo, hakika hawa jamaa wanasifiwa bureeee tumewaacha mbali saaana, duh Megawati 80 watu milioni zaidi ya milioni 10!

Watu wengine akili finyu sana! Sasa wewe unacheza kwenye tope halafu unamcheka anayecheza kwenye tope! Unafikia hata hatua ya kuanzisha thread kwa kuonyesha kuwa yule naye ni mjinga kama mimi! Think positively!!
 
yaani sipati picha Rais kama kikwete ndo anapewa nchi iliyotoka kwenye genocide huku akisaidiwa na magenius wake kina mwigulu na nape...lol....majaanga
 
wewe hujaelewa nafikiri una mahasira na mahang over yako, tatua ugomvi nyumbani kwako itakusaidia ongea na mkeo/mmeo badala ya kunywa Pombe!

rwanda mabwege kulinganisha na wap? tz? u cant b serious,mtoa thead unafanya kaz tanesco,maendeleo na kukua kwa uchumi kunatokana vitu vingi,si umeme pekee,mapinduzi yakizalendo ktk sector ya elimu,rwanda sasa inatoa wataalamu dunian ktk nyanja mbalimbali hasa wa IT,wana kituo cha maendeleo kwajil ya taifa lao fun enough,kuna mtanzania humo wanamtumia,sera za uchumi ni kwa faida ya mrwanda,mapinduzi makini ya kilimo,yote hayo yamefanywa direct proportional to country's population against resources they have,najua ulikuwa unajifariji eti tz iko juu,hell no,mfumo wa elimu haueleweki,china ya sasa ni matokeo ya mapinduzi ya elimu na kilimo 1920's,hatuna mitahala,mikataba ya madini ni upuuzi,tuna uranium uko dodoma,ardhi yenye rutuba,bandari,etc hata tungekuwa wa tz mil 100 mungu ametupa rasilimal nyingi ambazo kiukweli vichekesho kuwa ni nchi masikini,rwanda wako juu bana,angalia per capita income.
 
ndugu zangu kagame anahaki ya kujitamba kwan yy km raisi wa nchi anacmamia mambo ya msingi kwa wananchi wake..angalia huduma za kijamii kwa ujumla utakubali hilo..sio km mtalii wetu j k.
 
yaani sipati picha Rais kama kikwete ndo anapewa nchi iliyotoka kwenye genocide huku akisaidiwa na magenius wake kina mwigulu na nape...lol....majaanga

Atakuwa analalamika kila siku au ataongeza idadi ya safari nje ya nchi
 
Hiyo ni hesabu rahisi kujua nani anafanya vizuri, japan wame devalue pesa yao waweze kufanya biashara na Africa that's all! Lakini huwezi kuilinganisha Rwanda nchi iliyopitia GENOCIDE ikasambaratika kwa maana ya kusambaratika, leo walipofikia hapo uzungumzie 80 MEGAWATI kwamba hawako vizuri kiuchumi!! Daktari wa Rwanda analipwa karibu Tsh 3,000,000/- ya Tanzania nyie wa kwenu mnamlipa ngapi? Walijifunza Tanzania mambo ya Health Insurance, leo wako zaidi ya 90% coverage wakati bongo hata 20% hamjafika!! Tanzania tuna all resources ila tatizo hatuna viongozi bali tuna watawala!! Na kama umegundua kila kitu kitu kinachoanzishwa Tanzania kina collapse sijui kama umewahi kujiuliza hilo swali..!! Ndio maana kila mtu akipata upenyo anaiba!! IKULU inaiba, mwananchi wa kawaida anaiba! That is Tanzania, that is bongoland!!

Well said anebisha ni mbishi tuuuu
 
Back
Top Bottom