Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 9,711
- 15,838
- Thread starter
- #61
Hivi we Kijakazi umewahi kufika Rwanda?Au umedadisi kuhusu nchi hii ndogo na ukapata linalohusu umeme ukaona umemaliza kuhusu Maendeleo ya Rwanda?
Umeme ndio kila kitu, hayo mengine ya kufagia barabara na kusafisha Majengo ya vioo hayasemi kitu chochote, Ukitaka kujua nchi inamaendeleo kiasi gani angalia uzalishaji wake wa Nishati kwa maana hapo ndipo kila kitu kilipolalia, bila hiyo hakuna kitu unaweza kufanya, hayo mengine Wazungu wanaita lip service tu! Yaani Rwanda leo hii viwanda vyetu kama Tanelec au MM Steel hakiwezi kufanya kazi, kwa kuwa hakuna Umeme wa kutosha sasa hayo maendeleo yako wapi?