MWANASHERIA
Member
- Aug 20, 2010
- 84
- 11
Siku za mwizi 40 huyu ndo mbaya wetu na KIkwete wake
Sijawai kumchukia kikwete kama kipindi hiki
I will never never accept Kikwete
oh ooooooh mh !!!nimeshtuka kidogo, baada ya kuona kwenye tv rostam akijitetea kuwa siku anayodaiwa kufanya kikao mwanza tarehe 19 alikua afrika kusini toka tarehe 16 october. Kilichonishtua ni kwamba tarehe 17 october, rostam akiwa bado afrika kusini, ndio siku ambayo kulitokea kontena linalodaiwa kuwa na kura feki kuingizwa nchini toka a. Kusini kupitia tunduma.
hebu wananchi tutafakari hili................
Nimeshtuka kidogo, baada ya kuona kwenye TV Rostam akijitetea kuwa siku anayodaiwa kufanya kikao Mwanza tarehe 19 alikua Afrika Kusini toka tarehe 16 October. Kilichonishtua ni kwamba tarehe 17 October, Rostam akiwa bado Afrika Kusini, ndio siku ambayo kulitokea kontena linalodaiwa kuwa na kura feki kuingizwa nchini toka A. Kusini kupitia Tunduma.
Hebu wananchi tutafakari hili................
Nimeshtuka kidogo, baada ya kuona kwenye TV Rostam akijitetea kuwa siku anayodaiwa kufanya kikao Mwanza tarehe 19 alikua Afrika Kusini toka tarehe 16 October. Kilichonishtua ni kwamba tarehe 17 October, Rostam akiwa bado Afrika Kusini, ndio siku ambayo kulitokea kontena linalodaiwa kuwa na kura feki kuingizwa nchini toka A. Kusini kupitia Tunduma.
Hebu wananchi tutafakari hili................
Acheni uzandiki nyie na uzushi, huyu jamaa ana fanya biashara zake nyingi tu Afrika Kusini .
Hiyo mie mwenyewe niliipata nikiwa hapa South Africa kwa masikio yangu mwenyewe, akiongea bwana mmoja ambaye ni mwambata wa kijeshi katika ubalozi wa Tanzania huko Pretoria (Brigedia M****) kwamba "kura feki za Zanzibar zimetengenezwa mjini Sandton - uliopo jimbo la Gauteng na wanataka kura za CUF na CCM zitofautiane kidogo! Halafu za Tz bara zimetengenezwa Bloemfontein - mji mkuu wa jimbo la Free State na wanataka kikwete apate kati ya asilimia 70 - 80".Nimeshtuka kidogo, baada ya kuona kwenye TV Rostam akijitetea kuwa siku anayodaiwa kufanya kikao Mwanza tarehe 19 alikua Afrika Kusini toka tarehe 16 October. Kilichonishtua ni kwamba tarehe 17 October, Rostam akiwa bado Afrika Kusini, ndio siku ambayo kulitokea kontena linalodaiwa kuwa na kura feki kuingizwa nchini toka A. Kusini kupitia Tunduma.
Hebu wananchi tutafakari hili................
Acheni uzandiki nyie na uzushi, huyu jamaa ana fanya biashara zake nyingi tu Afrika Kusini .
Dont worry Mzee,
Rostam alitakiwa atuonyeshe "entry stamp" na "Exit Stamp" ya SA na sio Exit stamp ya TZ kama alivyokuwa ameonyesha kwenye TV. Hawa ni mafisadi wanaweza kupeleka passport airport immigration wakapiga mihuri wakati yuko hapahapa TZ. Maana yake ni kuwa hajatuhakikishia alikuwa SA!
Ni kweli ni mfanyi biashara lakini siku hiyo alikuwa anashughulikia swala la karatasi za kura ( WEWE ULIMUONA ?) kama unabisha shauri yako
maana aliyeona kontena ni mwangalizi wa TRA ( YUPI , HEBU MTAJE TUMJUE ) na alivyotoa report kwa Bosi wake akamwambia hairuhusiwi kukaguliwa na ikafanyika mbinu kushirikiana na mkuu wa polisi haraka haraka na gari likatokomea ( KWENDA WAPI ?) wakaweka gari lingine ( LIPI ZITAJE NAMBA ZAKE) kwa ushahidi tu na kama huamini ubaki na umasikini wako ( FANYA KAZI NDIO UMASKINI UTAONDOKA ACHA VITU VYA BURE ),JK atakuwa rais ( AMEISHA KUWA RAIS , NANI RAIS WA WOTE ) lakini hamna anayemthamini kwa sasa ( WATANZANIA WANAMTHAMINI NDIO MAANA WAMEMPA RIDHAA YA KUONGOZA , NI WW TU PEKE YAKO ) na atapata taabu sana ( HAKUNA TABU YOYOTE ILANI YA UCHAGUZI ITATEKELEZWA KAMA ILIVYOPANGWA) katika kipindi hiki cha 5years ( TANZANIA BILA CCM HAIWEZEKANI)
Siku za mwizi 40 huyu ndo mbaya wetu na KIkwete wake
Sijawai kumchukia kikwete kama kipindi hiki
I will never never accept Kikwete
Hiyo mie mwenyewe niliipata nikiwa hapa South Africa kwa masikio yangu mwenyewe, akiongea bwana mmoja ambaye ni mwambata wa kijeshi katika ubalozi wa Tanzania huko Pretoria (Brigedia M****) kwamba "kura feki za Zanzibar zimetengenezwa mjini Sandton - uliopo jimbo la Gauteng na wanataka kura za CUF na CCM zitofautiane kidogo! Halafu za Tz bara zimetengenezwa Bloemfontein - mji mkuu wa jimbo la Free State na wanataka kikwete apate kati ya asilimia 70 - 80".
Sasa RA kusema kuwa alikuwa SA inawezekana, na anahusika kushiriki ktk mkutano wa wachakachuaji kwa sababu atakuwa aliwaambia niandikeni jina nakubaliana na hayo mtakayoazimia au imekuwa rahisi yeye kusema alikuwa SA lakini hakwepo kwa sababu hisia zinamtuma hivyo akijua akilini kwamba kuna mipango ya wizi walikuwa wakishughulikia huko!