Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,362
- 1,130
Hiyo mie mwenyewe niliipata nikiwa hapa South Africa kwa masikio yangu mwenyewe, akiongea bwana mmoja ambaye ni mwambata wa kijeshi katika ubalozi wa Tanzania huko Pretoria (Brigedia M****) kwamba "kura feki za Zanzibar zimetengenezwa mjini Sandton - uliopo jimbo la Gauteng na wanataka kura za CUF na CCM zitofautiane kidogo! Halafu za Tz bara zimetengenezwa Bloemfontein - mji mkuu wa jimbo la Free State na wanataka kikwete apate kati ya asilimia 70 - 80".
Sasa RA kusema kuwa alikuwa SA inawezekana, na anahusika kushiriki ktk mkutano wa wachakachuaji kwa sababu atakuwa aliwaambia niandikeni jina nakubaliana na hayo mtakayoazimia au imekuwa rahisi yeye kusema alikuwa SA lakini hakwepo kwa sababu hisia zinamtuma hivyo akijua akilini kwamba kuna mipango ya wizi walikuwa wakishughulikia huko!
Dr Slaa aliwaprovoke .... wakabwabwajika walikuwa wapi eh?
JF ...Ni makosa makubwa sana kupuuzia hizi taarifa...!!!
Hizi habari zifuatiwe mara moja kwa kina inavyowezekana!!!!
Kwa hali yeyote haishindikani kabisa kupata leadings za hizi details ...
Kuhusu matokeo ya CUF vs CCM:
Mambo muhimu yaliyotajwa....!!!
1. Mwambata wa Kijeshi....Brigedia...!! Mjini Pretoria!
2. Mjini Sandton Jimbo La Gauteng..!
CHADEMA vs CCM NI :
Mambo muhimu yaliyotajwa ...!
1. Mjini Bloemfontein... !
3. Jimbo la Free State
Uchaguzi umepita its ok!!
Lakini haya ni maadalizi kwa ujenzi wa demokrasia siku zijazo...nothing to waste!!
We have to find truth...and the truth alone!!!