Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,706
Kumbe raisi Amani Abeid karume sio mtoto wa mzee Abeid Karume raisi wa kwanza wa zanzibar. Inasemekana aliekuwa raisi wa zanzibar Amani karume sio mtoto wa marehemu abeid karume raisi wa kwanza wa zanzibar. Source humu humu JF..link..nitawapeni
quote....
quote....
Picha:Kapige mwenyeweAllies, Data nzito hizo bro, keep it up pia hata Hussein Mwinyi naye pia alilipwa fadhila baada ya kulazimishwa na JK wakati ule arudishe fomu ya NEC, "....rudisha fomu hizo sitaki comeptition katika mkoa wa pwani.....", Mwinyi akaamua kuhama kabisa, Malipo? Waziri wa Muuungano, kutayarishwa kuwa rais wa ZNZB? I do not think so, wakati utakapofika ngoma itakuwa betweeen Shamuhuna, Khatibu, na Balozi Idd! Watoto wa Karume kutawala huko? sio kweli maana Ammani sio mtoto wa Abeid Karume, ni mtoto wa Abdulrahamani Babu, ambaye alimuwahi Mama Fatuma, bila ya Marehemu kujua, ndio maana CCM ilibidi iingilie kati ugomvi wa "Ndugu" wawili yaani Balozi Ali na Mzee Ammani, baada ya Ali kurudi na kudai kugombea urais wa Muuungano, na kumuonya Ammani aache kujenga kwenye viwanja vya baba alivyoachiwa na Marehemu baba yake, zikapigwa kavu kavu kule Ikulu ZNZB, Mzee Natepe, akaombwa achunguze tatizo la "Ndugu" hao wawili, majibu ya ripoti yake ya siri kwa CCM executives, hawa sio ndugu kumbe ni siri Mama Fatuma alikuwa ameificha siku zote, Yes, ndio maaana tunasema siasa ni mchezo mchafu, ambao huchezwa na watu wachafu, yaani viongozi!