Kumbe raisi mstaafu karume sio mtoto wa Abeid Karume!

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,706
Kumbe raisi Amani Abeid karume sio mtoto wa mzee Abeid Karume raisi wa kwanza wa zanzibar. Inasemekana aliekuwa raisi wa zanzibar Amani karume sio mtoto wa marehemu abeid karume raisi wa kwanza wa zanzibar. Source humu humu JF..link..nitawapeni
quote....
Allies, Data nzito hizo bro, keep it up pia hata Hussein Mwinyi naye pia alilipwa fadhila baada ya kulazimishwa na JK wakati ule arudishe fomu ya NEC, "....rudisha fomu hizo sitaki comeptition katika mkoa wa pwani.....", Mwinyi akaamua kuhama kabisa, Malipo? Waziri wa Muuungano, kutayarishwa kuwa rais wa ZNZB? I do not think so, wakati utakapofika ngoma itakuwa betweeen Shamuhuna, Khatibu, na Balozi Idd! Watoto wa Karume kutawala huko? sio kweli maana Ammani sio mtoto wa Abeid Karume, ni mtoto wa Abdulrahamani Babu, ambaye alimuwahi Mama Fatuma, bila ya Marehemu kujua, ndio maana CCM ilibidi iingilie kati ugomvi wa "Ndugu" wawili yaani Balozi Ali na Mzee Ammani, baada ya Ali kurudi na kudai kugombea urais wa Muuungano, na kumuonya Ammani aache kujenga kwenye viwanja vya baba alivyoachiwa na Marehemu baba yake, zikapigwa kavu kavu kule Ikulu ZNZB, Mzee Natepe, akaombwa achunguze tatizo la "Ndugu" hao wawili, majibu ya ripoti yake ya siri kwa CCM executives, hawa sio ndugu kumbe ni siri Mama Fatuma alikuwa ameificha siku zote, Yes, ndio maaana tunasema siasa ni mchezo mchafu, ambao huchezwa na watu wachafu, yaani viongozi!
Picha:Kapige mwenyewe
 
Yoyo!, angalia usiiponze jf yetu ikafungwa!.
Kivipi kamanda? kama kufungiwa ingeshafungiwa long time......mimi nime quote tu from jf

ukiangalia kweli a.karume anafanana na Babu sana...na wote wanapiga fegi ile mbaya...
images

Babu
AmaniAbeidKarume.jpg

karume
 
Mwenyekujua ukweli wa mambo ni mama mzazi vinginevyo hapa mtabaki kubishana bila kufika muafaka kama vipi muibukieni maza ake
 
Yo Yo ni shoga!hii imethibitika baada ya rafiki yake wa karibu aitwaye MGUU WA MTOTO kuonyesha picha akimlawiti YO YO ghetto kwake........................................................................mtu akiquote maneno haya toka hapa JF ni uthibitisho kama wewe YO YO ni BWABWA?just asking..
 
Kweli lugha imepanuka. Tangu niondoke hapa mjini kuelekea shamba sina ninachoambulia. Yo YO... Mnhhhh! Sina nilichoelewa kwenye ujumbe huu
 
wewe ndie umekosea ni mtoto wa marehemu balozi hassan diria hii ndio kweli wala si babu hiyo hata yeye karume anajuwa mimi nimeambiwa na kaka yake wa damu marehemu diria ambae anaishi maeneo ya haningham nairobi .kenya
 
Kivipi kamanda? kama kufungiwa ingeshafungiwa long time......mimi nime quote tu from jf

ukiangalia kweli a.karume anafanana na Babu sana...na wote wanapiga fegi ile mbaya...
images

Babu
AmaniAbeidKarume.jpg

Duh! Labda ni kweli.
Naona nyusi, pua na meno vimefanana sana.
Weka na picha ya Karume baba tuwaone wote watatu kwa pamoja.
karume
 
Kivipi kamanda? kama kufungiwa ingeshafungiwa long time......mimi nime quote tu from jf
Yoyo, kwa vile ilikuwa ni inside story haina as big impact as hii ambayo ni special thread!.

Kila mwana jf ni kama mwandishi wa habari katika suala zima la kupashana habari, hivyo we have to write resiponsible journalism kwa kutoa habari zenye nia ya kujenga na bila kukiuka miiko ya the right to privacy!.

Kabla ya kuja kwa kipimo cha DNA, mwenye kuujua ukweli mtoto ni wa nani ni mama na hayo ni mambo ya faragha, kitendo cha kutoa siri za familia za watu mtoto fulani ni wa nani, ni kuingilia faragha za watu!.

Karume ni miongoni mwa viongozi wetu wakuu wastaafu, thread kama hii sio tuu ni udhalilishaji kwa familia ya Karume bali inamvunjia kabisa mama mzazi wa Karume Bi. Fatma kumuonyesha yeye sio mke mwaminifu!.

Zanzibar ni nchi ya Kiislamu, kitendo cha kumsema rais wao mstaafu ni product ya zinaa na pia ni mwana haramu, inaweza kuleta machukizo, hivyo namshauri mode kutumia busara kuifunga hii thread kwa kukosekana ushahidi wa DNA kuhusu tuhuma hizi!.
 
Kivipi kamanda? kama kufungiwa ingeshafungiwa long time......mimi nime quote tu from jf

ukiangalia kweli a.karume anafanana na Babu sana...na wote wanapiga fegi ile mbaya...
images

Babu
AmaniAbeidKarume.jpg

karume
Haitoshi kunishawishi nikubaliane na kauli yako. Evidence beyond reasonable doubt ni kutupa matokeo ya DNA test. Otherwise hiyo itakuwa ni paukwa pakawa.
 
Tangu nianze kufuatilia mada za humu jamvini, kiukweli nimejua mambo meengi mno.! Bravo Jf, Keep On Movin
 
Yoyo, kwa vile ilikuwa ni inside story haina as big impact as hii ambayo ni special thread!.

Kila mwana jf ni kama mwandishi wa habari katika suala zima la kupashana habari, hivyo we have to write resiponsible journalism kwa kutoa habari zenye nia ya kujenga na bila kukiuka miiko ya the right to privacy!.

Kabla ya kuja kwa kipimo cha DNA, mwenye kuujua ukweli mtoto ni wa nani ni mama na hayo ni mambo ya faragha, kitendo cha kutoa siri za familia za watu mtoto fulani ni wa nani, ni kuingilia faragha za watu!.

Karume ni miongoni mwa viongozi wetu wakuu wastaafu, thread kama hii sio tuu ni udhalilishaji kwa familia ya Karume bali inamvunjia kabisa mama mzazi wa Karume Bi. Fatma kumuonyesha yeye sio mke mwaminifu!.

Zanzibar ni nchi ya Kiislamu, kitendo cha kumsema rais wao mstaafu ni product ya zinaa na pia ni mwana haramu, inaweza kuleta machukizo, hivyo namshauri mode kutumia busara kuifunga hii thread kwa kukosekana ushahidi wa DNA kuhusu tuhuma hizi!.
wewe nawe njaa itakumaliza aiseee......
 
wewe ndie umekosea ni mtoto wa marehemu balozi hassan diria hii ndio kweli wala si babu hiyo hata yeye karume anajuwa mimi nimeambiwa na kaka yake wa damu marehemu diria ambae anaishi maeneo ya haningham nairobi .kenya
umeandika kama piddy arifu..sijakusoma kabisa
 
YO YO,
Hii avatar yako imenisumbua sana nimefuta screen ya lap. yangu kwa vidole na kitambaa lakini yule mdudu hatoki, nikasema ama kweli VIRUS wame spoil comp. yangu ile mbaya!
 
Back
Top Bottom