Kumbe raisi mstaafu karume sio mtoto wa Abeid Karume!

YO YO,
Hii avatar yako imenisumbua sana nimefuta screen ya lap. yangu kwa vidole na kitambaa lakini yule mdudu hatoki, nikasema ama kweli VIRUS wame spoil comp. yangu ile mbaya!


mwenzio kila wakati huwa nafukuza huyu inzi wa yo yo, baadae nakumbuka kuwa ni avatar! LOL!
 
Kivipi kamanda? kama kufungiwa ingeshafungiwa long time......mimi nime quote tu from jf

ukiangalia kweli a.karume anafanana na Babu sana...na wote wanapiga fegi ile mbaya...
images

Babu
AmaniAbeidKarume.jpg


karume

Watoto wa kujificha au wa nje huwa wanafananisha hao mpaka basi....
 
ukiwa pale ccm bar kule zanzibar akiingia mzee mmoja ivi ambaye ni mlevi na matusi ya nguoni makali makali, basi utaziskia izi tetesi kuwa yeye ndo baba wa mheshimiwa! mbona kila mtu anasema lake, labda ipo siku mama ake atatuweka wazi
 
Nusu ya wanaume hapa Tanzania ni WAGUMBA!!!
Source; UTAFITI
 
Jamani it happens, we do not need any jugment about this.
Asiye na hatia basi na awe wa kwanza kumtupia Jiwe huyo mzaa chema- rais mstaafu wa Zenj.
Nasema ikiwa wewe uko mwaminifu kwa mke/mume wako kwa 100%, mhukumu huyo asiye kuwa mwaminifu.
Sina nia ya kuendekeza ukosefu wa uaminifu, lakini ni hali halisi. Ikiwa umeshinda ugonjwa huu, tuombee kwa mola. Aaaaamen.
 
Jamani it happens, we do not need any jugment about this.
Asiye na hatia basi na awe wa kwanza kumtupia Jiwe huyo mzaa chema- rais mstaafu wa Zenj.
Nasema ikiwa wewe uko mwaminifu kwa mke/mume wako kwa 100%, mhukumu huyo asiye kuwa mwaminifu.
Sina nia ya kuendekeza ukosefu wa uaminifu, lakini ni hali halisi. Ikiwa umeshinda ugonjwa huu, tuombee kwa mola. Aaaaamen.

Afadhali umeleta busara katika hili............hebu mkumbushe Yo yo, yeye mwenyewe ana hakika gani ni product ya baba yake mlezi?
 
Yoyo!, angalia usiiponze jf yetu ikafungwa!.
Kwa nini unawajenga watu na nidhamu ya woga? kitu unachopaswa kujuwa ni kwamba hakuna mtu mwenye uwezo wa kufungia mawazo ya watu wenye fikra huru, na isitoshe sasa hivi kila mtu ni bloger.
 
Yo Yo ni shoga!hii imethibitika baada ya rafiki yake wa karibu aitwaye MGUU WA MTOTO kuonyesha picha akimlawiti YO YO ghetto kwake........................................................................mtu akiquote maneno haya toka hapa JF ni uthibitisho kama wewe YO YO ni BWABWA?just asking..
"hili la yoyo kuwa shoga hata mimi nimelisikia ila heb ngoja mwenyewe aje kudhibitisha" end of quote alisema mchangiaji mmoja kutoka JF
 
Back
Top Bottom