Kumbe PREZZO mama yake ni MTANZANIA...

Anajua Tz mko kama 45mil ivi so akipata apo ata 5mil votes si haba!
Ila kwa sasa watz life ikoo tight sijui kama atafanikiwa kupata votes
 
Anajua Tz mko kama 45mil ivi so akipata apo ata 5mil votes si haba!
Ila kwa sasa watz life ikoo tight sijui kama atafanikiwa kupata votes

Hata Juakali mamake Dorin Oneya ni mtanzania, mtoto wa Charles Oneya wa Buturi, Rorya Mara. Hivyo ni wengi tu.
 
Na ndiyo maana anataka kuondoka BBA maana anaona UVIVU wa KITANZANIA. Maana watanzania ni wavivu sana na hawataki shida.
 
Na ndiyo maana anataka kuondoka BBA maana anaona UVIVU wa KITANZANIA. Maana watanzania ni wavivu sana na hawataki shida.
:nono:

Kumbuka Richard Bezuidenhout alishinda hiyo kitu, Mwisho Mwampamba naye alishawahi kushika nafasi ya pili. Nchi zilizowahi kutoa mshindi wa BBA toka ianzishwe ni nne(4) tu, ambazo ni Nigeria, Tanzania, Angola, na Zambia.
 
Kweli mama yake ni Mtanzania wa Mwanza sehemu moja itaitwa bugarika.
 
Huo ni ukweli; Mama yake ni Mkuria wa Tanzania ila babake ni Mkikuyu wa Kenya..
CMB Prezzo ana binamu zake wengi; Chacha Wangubo, Mary Robi na wengineo huku Mwanza.
Prezzo kasafiri mara nyingi kuelekea Mara kuwatembelea wajomba, mama mdogo wake na wengineo

Wewe kweli nimekubali unafahamu nakutajia huyu mtu mshakaji wangu saizi anaishi Nairobi kwao Prezzo mjomba wake anaitwa Raja...walikwenda kusoma Canada nadhani walishindwa.
 
Jamani hii si mara ya kwanza kwa Prezzo kusema kuwa anaasili ya Tanzania, kutokana na mama yake kuwa Mtanzania hivyo kudai kuwa anatafuta kura zetu ni hisia muflisi.....tatizo hamfuatilia hii industry ya muziki wa kizazi kipya katika nchi zetu za Afrika Mashariki.
 
Back
Top Bottom