Kumbe PREZZO mama yake ni MTANZANIA...

Kumbe PREZZO mama yake ni MTANZANIA...

leroy

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
1,622
Reaction score
2,220
Amedadavua hivyo leo kwenye show ya Big Brother Stargame kwa kuonesha ubunifu wake wa kisanaa.
Kama haitoshi aliweka noti ya Elfu kumi ya kiTanzania (Msimbazi) kwenye presentation yake kutambua utaifa wa mama yake...
 
anateka akili za wabongo mjue ni ndugu yenu mumpe kura, mwisho wa siku mnaambiwa ilikuwa zuga 2
 
so what?
Amedadavua hivyo leo kwenye show ya Big Brother Stargame kwa kuonesha ubunifu wake wa kisanaa.
Kama haitoshi aliweka noti ya Elfu kumi ya kiTanzania (Msimbazi) kwenye presentation yake kutambua utaifa wa mama yake...
 
Amedadavua hivyo leo kwenye show ya Big Brother Stargame kwa kuonesha ubunifu wake wa kisanaa.
Kama haitoshi aliweka noti ya Elfu kumi ya kiTanzania (Msimbazi) kwenye presentation yake kutambua utaifa wa mama yake...

Prezzo Makini CMB.
 
wasiyomjua na wasiotaka kumjua hata huu uzi hawajachangia ila maboya ndo wa kwanza kuuliza ndo nani!hii nayo habari!!!acheni upimbi kama kitu huna interest nacho unapiga kimya
 
na mamake ni mkuria anaitwa Dina Hezron Magige au Mrs.Makini.
 
Mimi nilijua eti ni mtoto wa Mzee Jomo Kenyataa.
niambieni vizuri kwa kuwa hata mimi mama yenu
namkubali yule dogo vibaya sana.
 
na mamake ni mkuria anaitwa Dina Hezron Magige au Mrs.Makini.

hata kenya kuna wakuria na majina ni hayo hayo, sasa anaweza kusema mama yake ni mtz kwa kuwa anashida ya kura but akishapata anachotaka mamaake atakuwa mkuria wa kenya, achana na wakenya ni wajanja sana, hata wajaluo wa ky huwa wanajifanya watz wakitafuta ajira hapa kwetu. mi huwa siwaamini kabisa.
 
Huo ni ukweli; Mama yake ni Mkuria wa Tanzania ila babake ni Mkikuyu wa Kenya..
CMB Prezzo ana binamu zake wengi; Chacha Wangubo, Mary Robi na wengineo huku Mwanza.
Prezzo kasafiri mara nyingi kuelekea Mara kuwatembelea wajomba, mama mdogo wake na wengineo
 
Back
Top Bottom